Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?

[emoji23][emoji23][emoji23] ila millard ana followers huko youtube na insta kuzidi kituo chochote cha redio hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemshusha sana Lil Ommy.

Weight yake inaweza kuwa sawa na Salama.

Millard bado, ila yuko kwenye right track.
Energy (vibe) + detail oriented (kitu ambacho presenters wengi hawana) = lil ommy

Sikiliza interview za lil ommy nyingi utaona flow ni ya details na mostly ni vitu mtu alipost kwenye insta au twitter account ..
Kiufupi hana diversity sana kwenye maswali na hii humfanya kuwa less flexible ndo maana akikutana na mgeni ambaye yupo nje ya entertainment industry huwa anastruggle sana kuendana nao

Inshort lil ommy hana same weight na salama
 

Got you.
 
Umemshusha sana Lil Ommy.

Weight yake inaweza kuwa sawa na Salama.

Millard bado, ila yuko kwenye right track.
Halafu usisahau kuwa lil ommy na millard ni vitu viwili tofauti...

Millard ana utangazaji wake upo very calm ambao unaendana na content pamoja na personality yake. Hii inamfanya kusikilizwa na rika karibia zote

Lil ommy utangazaji wake una vibe na upo relevant zaidi kwa rika la vijana maana ndo content wanazopenda

Hapo ushajua mshindi nani japo lil ommy namkubali maana kuwin audience kwenye era ya millard .alifanya kazi
 
Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimekusoma mkuu, sikuiangalia katika angle hii.

Una point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…