Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?


Mzee kiufupi namba zinatumika sana lakini sio final maana kuna vitu vingi unapaswa kuviangalia...

Af tofautisha kuwa BORA na kuwa na MAFANIKIO.. ni sawa na kusema diamond ni msanii bora zaidi kuliko Barnaba sababu ya view za youtube, mali ama popularity.. utakuwa umefeli

Hapa tunaangalia ubora, thread ya mafanikio ikija tutaangalia namba zaidi
 
Salama ni mkali zaidi when it comes to interview..

Millard pia sio mbaya anafuatia..

Ni mlinganisho sahihi maana wote wanaweza kufanya interview na watu tokea kwenye burudani,michezo,siasa n.k

Kuna watu wanamtaja Lil Ommy lakini tukumbuke huyu anafanya burudani tu..na nahisi ni rahisi kufanya interview na msanii kuliko na Tundu Lissu..
 
Salama anam'copy kila kitu Role model wake Elen wa The Elen show,,Hadi u'tom boy,,sema hakuna mtangazaji mkubwa duniani kama Elen..
 
Salama ana uwezo mkubwa wa kuuliza maswali korofi yale tena kwa ustadi wa hali ya juu.

Salama kuna ile interview aliyo mfanyia Mzee wa upako,alimchokonoa mpaka akawa anataka kumaindi lkn Salama anaye mwanzo mwisho.

Eti Mwanzo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
None of the above. Kwa uchache wa taarifa nilizozipata kupitia jukwaa hili inaonekana EceJay yupo vizuri


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kibongo bongo namba sio ishu, ndo maana hata tukisema watanzania wote tusimchague magu, lakini matokeo yatakuja magu ni mshindi, namba waachie wazungu
 
Salama ana uwezo mkubwa wa kuuliza maswali korofi yale tena kwa ustadi wa hali ya juu.

Salama kuna ile interview aliyo mfanyia Mzee wa upako,alimchokonoa mpaka akawa anataka kumaindi lkn Salama anaye mwanzo mwisho.
naikumbuka iyo hahahahaha mzee alishaanza kukunja ndita usoni halafu wenzie wakina muba walikua wanaogopa balaa kuuliza maswali?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…