Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

kama sio ya Fid Q basi itakuwa ya A.Y au yule Shaba Rans kwenye mkasi
 
Mkuu punuguza jazba nimecheka sana laiti mngeonana USO kwa USO sijui kipi kingetokea
 
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Of what use!
 
Kwani salama ni wa kiume hadi asipigwe mimba, udaku wako peleka huko
 
Jamaa kaniwahi. Hiyo mimba ilikuwa nimpige mimi
 
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Ulitaka apigwe nani hiyo mimba?
 
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Sasa wewe inakuhusu nini watanzania aisee baada ya kuwaza maendeleo wewe unawaza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…