Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Asee hata mim nashangaaHakuna jipya,kama Nungu nungu na miiba yote anazaa ije iwe salama?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee hata mim nashangaaHakuna jipya,kama Nungu nungu na miiba yote anazaa ije iwe salama?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu punuguza jazba nimecheka sana laiti mngeonana USO kwa USO sijui kipi kingetokeaWewe si mtoa mada, comment ilidhamiriwa kuwa ya mtoa mada lakini unajitia kiherehere cha kuuliza. Kama umetiwa mimba na wewe tafadhali katafute wa kumpelekea kisirani cha ujauzito wako, usilete kwangu. Na kama dhamira yako ni kuongeza idadi ya post basi umefanikiwa.
HahahaMimba ya AY ama ya yule kinyozi?
Of what use!Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Labda imetoka kama ya nanii....
[emoji38] [emoji38] [emoji38] yani ww!Tumuandalie Baby shower
Hajawahi kukaa kikike lakini ndani yake anao ukike.Labda cha ajabu hapo ni kwa vile hajawahi kuvaa gauni wala sketi [emoji85] hata kwangu inasound so wiard salama hajawahi kukaa kikike kabisa
Ulitaka apigwe nani hiyo mimba?Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Sasa wewe inakuhusu nini watanzania aisee baada ya kuwaza maendeleo wewe unawaza ujingaWakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
magazeti yenu hayo ya udaku ndo yanaandikaSasa wewe inakuhusu nini watanzania aisee baada ya kuwaza maendeleo wewe unawaza ujinga
Kamjaze sepengaaJamaa kaniwahi. Hiyo mimba ilikuwa nimpige mimi