Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

Kwa Simba si jambo geni kuwa na msemaji mwanamke, alishakuwepo marehemu Asha Muhaji miaka ya nyuma kidogo. Usemaji ni kazi sio jinsia
 
Kama ni kweli, Watani mmepata Jike la Mbegu.
 
Sometimes wanaongea vitu kama hivi ili jukwaa lichangamke, ni sehemu ya creativity lakini alisogea mbele sana.
 
Ni salama jabir mshabiki na mwanachama wa simba Sc, za chini ya kapeti zinasema yeye ndio msemaji mpya wa Simba

Karibu msimbazi ecejay

View attachment 1921685
Mabadiliko makubwa katika uga wa michezo,hasa futiboli. Na iwe hivyo. Ikishindikana basi Steve Nyerere🙄🙄🙄🙄
 
Kwanini msingemchukua Masau bwire ? Na akaunti ya insta akapewa admin wa ruvu shooting
Masau ni Shabiki wa Yanga huyo kama ilivyo kwa Msemaji wa Azam nae ni Yanga damu.
Simba haitaki Mamluki tena
 
Kuna watu wanahisi eti Simba itatafuta hafisa habari mwingine wa kurusha vijembe,hilo wasahau kabisa.
Kuna bugati m1 tu,kolo mtasema yote lakini haji ana 100% kuwatangaza mitandaoni,bila haji msingekua na followers wale kule IG na twitter
 

Attachments

  • 241325534_304215784807724_1590051067301614424_n.mp4
    1.1 MB
Hhaahha! Sasa mzee wako alikereka nini? Anaona haiwezekani? Au ndo wae watu hawakubali kuw binadamu hutofautiana?
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema
Kuziba pengo! Sio kwamba Simba wanajenga kabisa? Maana kwa mtizamo wangu hawakuwa na mkuu wa habari wa karne hij?
 
Namheshimu nugaz na nampenda ssanaa tena sanaa!hanaga shida yule kaka,hata sasa Yanga wamemtema ataishi vzr hana baya na mtu
 
Anaweza pia kwani si mnajua hata Mudi mwenyewe anahusudu sana chupi, ila huyu sidhani kama atakaa chungu kimoja na pisi ya bosi , ashauriwe tu akatae maana kule atapigwa sana vijembe kuwa ni Boish na haleti hamasa kwa wanachama, unacheza na pisi ya bosi nini wewe
 
Kuna bugati m1 tu,kolo mtasema yote lakini haji ana 100% kuwatangaza mitandaoni,bila haji msingekua na followers wale kule IG na twitter
Mbona Masau Bwire anapiga domo lakini timu yake imeponea chupuchupu kucheza play off?
Mbwembwe za Manara bila timu kufanya vizuri haziwezi kueleweka kwa mashabiki mpaka timu iwe inafanya vizuri uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…