Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

Kwa Simba si jambo geni kuwa na msemaji mwanamke, alishakuwepo marehemu Asha Muhaji miaka ya nyuma kidogo. Usemaji ni kazi sio jinsia
 
Sometimes wanaongea vitu kama hivi ili jukwaa lichangamke, ni sehemu ya creativity lakini alisogea mbele sana.
 
Kwanini msingemchukua Masau bwire ? Na akaunti ya insta akapewa admin wa ruvu shooting
Masau ni Shabiki wa Yanga huyo kama ilivyo kwa Msemaji wa Azam nae ni Yanga damu.
Simba haitaki Mamluki tena
 
Kuna watu wanahisi eti Simba itatafuta hafisa habari mwingine wa kurusha vijembe,hilo wasahau kabisa.
Kuna bugati m1 tu,kolo mtasema yote lakini haji ana 100% kuwatangaza mitandaoni,bila haji msingekua na followers wale kule IG na twitter
 

Attachments

  • 241325534_304215784807724_1590051067301614424_n.mp4
    1.1 MB
Siku 1 huko late 2000's Niko na Mzee tunaangalia TV, Salama akauliza hivi Ni wkt unafanya kitu gani ndipo hua unapanga mipango yako ya kimaisha mizuri na mizito ndg mtazamaji?

Akajijibu Mwenyewe(Salama) akisema,Mimi binafsi nikiwa nakunya ndipo hua napanga mikakati yangu.

Tangu miaka hio mpk Leo mzee wangu hua hataki kabisa kumuona Salama,hua nacheka kichizi nikikumbuka.
Hhaahha! Sasa mzee wako alikereka nini? Anaona haiwezekani? Au ndo wae watu hawakubali kuw binadamu hutofautiana?
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema
Kuziba pengo! Sio kwamba Simba wanajenga kabisa? Maana kwa mtizamo wangu hawakuwa na mkuu wa habari wa karne hij?
 
unaposema amsha amsha unaamaanisha kuongea vijembe na matusi au? maana Manara sikuona hizo amsha amsha miaka minne mitano nyuma akiwa pale simba..

team ikifanya vizuri haitaji propaganda na amsha amsha.. kila wiki watu wanajazana kwenye tv kuangalia team za ulaya.. zinapata pesa kwenye haki za matangazo ya tv sababu zina mashabaki dunia nzima

manchester hajachukua ubingwa miaka saba ila anakimbiza kwenye mapato ya television maana dunia nzima watu wanajazana vibanda umiza kuwaangalia..

ushaona wapi wanafanya amaha amaha dunian au hata kwao UK

mpira wa vijembe na matusi unatengeneza chuki.. ndo maana sasa hv simba na yanga chuki zimezid miongon mwa mashabiki sababu ya matusi..

90% ya mashabiki wa yanga wana chuki halisi na simba sababu ilikuwa manara..

ila simba hawana chuki na msemaji au mhamasishaji wa yanga sababu walikuwa hawatukani...


Haji angekuwa kama dismas ten wala yanga wasingeahangilia manara kuhamia yanga wangesema hawamtak ni simba ila sababu ya ile chuki walionayo walionayo wanashangilia wakijua sasa hv watakuwa wanatukanwa simba..

sasa hv uwanjan shabiki wa simba kukaa upande wa yanga ni kosa la jinai..

jaman tubadilike kuendesha mipira kiswahili utatutia upofu wa kuona vitu vya msingi..

utan unaruhusiwa uwe na kipimo
Namheshimu nugaz na nampenda ssanaa tena sanaa!hanaga shida yule kaka,hata sasa Yanga wamemtema ataishi vzr hana baya na mtu
 
Anaweza pia kwani si mnajua hata Mudi mwenyewe anahusudu sana chupi, ila huyu sidhani kama atakaa chungu kimoja na pisi ya bosi , ashauriwe tu akatae maana kule atapigwa sana vijembe kuwa ni Boish na haleti hamasa kwa wanachama, unacheza na pisi ya bosi nini wewe
 
Kuna bugati m1 tu,kolo mtasema yote lakini haji ana 100% kuwatangaza mitandaoni,bila haji msingekua na followers wale kule IG na twitter
Mbona Masau Bwire anapiga domo lakini timu yake imeponea chupuchupu kucheza play off?
Mbwembwe za Manara bila timu kufanya vizuri haziwezi kueleweka kwa mashabiki mpaka timu iwe inafanya vizuri uwanjani.
 
Back
Top Bottom