thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Na waasisi WA hii dhana ni Jerry Muro na Manara, kabla ya hawa wawili wasemaji WA Simba na yanga walikuwa wanazingatia taaluma ya uhandishi WA habari.Tatizo watu wamekariri kua msemaji wa club ni lazima awe mtu wa mipasho na taarabu.
Wasemaji walikuwa waongeaji walikuwa Masau na kifaru WA mtibwa