Salama vs Zamaradi tukate mzizi wa fitna leo

Salama vs Zamaradi tukate mzizi wa fitna leo

Zama ilikuwaje hadi ikafikia kuwa mchepuko wa Boss na kuzaa nae watoto wakati kwasasa unajifanya hakuna anayeweza ku unlock chupi yako

Hakuna mkate mgumu ....................chai

RIP RUGE
 
Ndo hivyo hapa JF hatuwezi tena kutoa maoni yetu wazi wazi.
Watu wanaogopa sana sahivi kama utakumbuka juzi mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alikuwa akiongea na waandishi wa Habari kuhusu corona mkoani kwake ilivosambaa na kuwaambia watu wajilinde wenyewe nilitegemea magazeti ya jana yageitoa hiyo habari front page lakini sijaona chochote.
Wahariri wanaogopa kufungiwa magazeti yao
 
Wanajamvi, leo naomba tujadili nani mkali kati ya watangazaji hawa wawili wa kike, Zamaradi mketema wa Zamaradi tv na Salama Jabir wa Yahstone town. Je ni nani kati yao anao uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu maarufu. Yupi unamkubali kwa maswali yaliyokwenda shule?
Ungetuwekea na picha bwashee sisi tulioko chita huku hatuwajui hao kwani ni wabunge wa wapi
 
Zamaradi ana maswali ya kimbea zaidi , mtangazaj wa umbea , salama she is a bit exposed na ako smart sana . Ma gay wengi wako smart sana
 
Back
Top Bottom