Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu
Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae
Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado hayuko fit kihivyo) hivyo kwa niaba yake ameniomba nije niwape taarifa kuwa yupo na anaendelea vizuri
Nimeambatanisha Screenshot as proof
View attachment 3074438View attachment 3074439
Basi naomba tuendelee kumuombea ili arejeee katika hali yake ya kawaida mapema na tumujuike nae humu