MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Mimi na weweMungu mwema sana apate nafuu ya haraka.
Mimi hata sijuani na mtu humu au kuna mtu ananijua na mimi sijui? Maana unapopata taarifa na feedback kama hivi it feels good kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na weweMungu mwema sana apate nafuu ya haraka.
Mimi hata sijuani na mtu humu au kuna mtu ananijua na mimi sijui? Maana unapopata taarifa na feedback kama hivi it feels good kwa kweli
Asante mkuu kwa taarifaHabari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae
Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado hayuko fit kihivyo) hivyo kwa niaba yake ameniomba nije niwape taarifa kuwa yupo na anaendelea vizuri
Nimeambatanisha Screenshot as proof
View attachment 3074445View attachment 3074446
Basi naomba tuendelee kumuombea ili arejeee katika hali yake ya kawaida mapema na tumujuike nae humu
Jamaa kajiongeza 😂😂😂😂😂 kaambiwa tunda kawaza kitanda 😂😂😂😂😂 Bongo tunakazi sanaKakwambia Tunda, sasa habari ya uzinzi imetoka wapi?
🍑🍑🍆🍆🍌🍌Sasa JF kunatunda gani?
All the time God is goodMungu ni mwema
Daaah nimechekaaaa kinomaaa 😂😂😂😂😂Sawa ila habari ya kumnunulia supu imeingiaje hapo au hujui kuomba?
Angalia cm ako nmekutumia ya Pepsi😍😍😍😍
Habari njema sana kuisikia mchana huu, nilikuwa nafikiria mambo mengi sana, ikiwemo Mahusiano na watu.
Miss Leejay49 we prayed for You.
Pole sana kwa Kunywa na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho, ni faraja sana wetu kuona unaendelea kupata kwetu ni faraja sana mpaka umepiga chabo humu 🤣🤣🤣, tumekuwa tukikuombea kwa muda wote, tukatengeneza na bango kabisa na uzi tukauanzisha ni vizuri kuona umeanza kupona.
crd kwa Poor Brain kwa kudesign banner. Mungu ni mwema kwa kukuponya, endelea kuwa na matumaini. Utarejea kwenye hali yako ya afya na uzima. Like Me Nilipata skull fracture na nilishapona kabisa na siku zote nimekuwa nikimshukuru Mungu kwa kila jambo.
Kwa takribani siku none Ulikuwa kwenye mawazo yetu last night nikaendelea ku repost ile Hashtag ya #UponeHarakaLeejay❤️❤️❤️ na Bantu Lady akaendelea kukutakia heri katika hali uliyokuwa unapitia. Binafsi nafurahi sana kuona unarudi kwenye hali yako ya kawaida."**
Binafsi. Pole kwa mateso yote uliyopitia, ni wakati wa kurejea katika hali yako bora. Uvumilivu wako ni wa kupongezwa sana, hongera kwa kuwa na nguvu ya kupitia yote haya."
Nina furaha kubwa kuona unapata nafuu, sasa ni muda wa kuendelea na maisha kwa furaha na afya njema."**
Alhamdulillah for everything🙏
Phaller wewe 🤣🤣🤣🤣Angalia cm ako nmekutumia ya Pepsi