😍😍😍😍
Habari njema sana kuisikia mchana huu, nilikuwa nafikiria mambo mengi sana, ikiwemo Mahusiano na watu.
Miss
Leejay49 we prayed for You.
Pole sana kwa Kunywa na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho, ni faraja sana wetu kuona unaendelea kupata kwetu ni faraja sana mpaka umepiga chabo humu 🤣🤣🤣, tumekuwa tukikuombea kwa muda wote, tukatengeneza na bango kabisa na uzi tukauanzisha ni vizuri kuona umeanza kupona.
crd kwa
Poor Brain kwa kudesign banner. Mungu ni mwema kwa kukuponya, endelea kuwa na matumaini. Utarejea kwenye hali yako ya afya na uzima. Like Me Nilipata skull fracture na nilishapona kabisa na siku zote nimekuwa nikimshukuru Mungu kwa kila jambo.
Kwa takribani siku none Ulikuwa kwenye mawazo yetu last night nikaendelea ku repost ile Hashtag ya #UponeHarakaLeejay❤️❤️❤️ na
Bantu Lady akaendelea kukutakia heri katika hali uliyokuwa unapitia. Binafsi nafurahi sana kuona unarudi kwenye hali yako ya kawaida."**
Binafsi. Pole kwa mateso yote uliyopitia, ni wakati wa kurejea katika hali yako bora. Uvumilivu wako ni wa kupongezwa sana, hongera kwa kuwa na nguvu ya kupitia yote haya."
Nina furaha kubwa kuona unapata nafuu, sasa ni muda wa kuendelea na maisha kwa furaha na afya njema."**
Alhamdulillah for everything🙏