Salamu kutoka kwa Trump: Inawezekana ikawa mwisho wa Fulbright programs

Salamu kutoka kwa Trump: Inawezekana ikawa mwisho wa Fulbright programs

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Namna rahisi ya kuingia Marekani ni kupitia Fulbright programs ambazo huchukua watu vichwa kutoka Nchi zinazoendelea na kuwapeleka Marekani kujinoa.

Fulbright wanaratibu miradi ikiwemo FLTA ambayo walimu wa Kiswahili wanapata mashavu, pia kuna HHH Fellowship ambayo inachukua wakali wa field mbalimbali. Na kuna program za wasomi "Fulbright scholars" ambao mara nyingi ni wakufunzi wa vyuo vikuu huenda Marekani kujinoa.

Hizi zote pamoja na Madela Fellowship nk, zinapata fedha kutoka Department of State. Sasa kazi imeanza kwamba watu walioko Marekani kupitia miradi hii wanaweza wasipewe hela tena na ikawa ndio mwisho.

Well, mbali na yote kama wewe ni mwalimu wa Kiswahili(Uwe na walau degree) nicheki tu PM tuone namna japo wanazingua lakini fursa zinaweza kuwepo.

 
Back
Top Bottom