Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema

hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.

Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.

Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari zake zote?
Screenshot_20241217-204603_Chrome.jpg
 
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema

hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.

Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.

Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari
zake zote?
Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
 
Kwani ukiwa Atheist lazima umzidi Elon musk utajiri?

Utajiri haupatikani kwa kuwa Atheist.

Kila mtu anaweza kuwa tajiri haijalishi yeye ni Theist au Atheist.
 
Shetani Leo asubuhi amekunywa sumu, baada ya Wakristo na Waislam na watu wa dini nyingine kishindwa kumuangamiza.
 
Kwani ukiwa Atheist lazima umzidi Elon musk utajiri?

Utajiri haupatikani kwa kuwa Atheist.

Kila mtu anaweza kuwa tajiri haijalishi yeye ni Theist au Atheist.
Ni kwa sababu uchunguzi wangu nimegundua wengi wa Theist

wa hapa wanajitabainisha kwamba wamefanikiwa na ni matajiri na
wale wanaosali na kumuamini Mungu ni makapuku.
 
Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
Halafu mbona ni ninyi tu binadamu mnahangaika kumwelezea Mungu na kutetea uwepo wake, Anashindwa nini kuja kujitetea na kujidhihirisha yeye mwenyewe?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe yeye kama yeye, kama ana huo uwezo.

Vinginevyo, Ni nyie tu mnahangaika kumwelezea Mungu ambaye hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo kujidhihirisha mwenyewe.
 
Daima Mungu anajidhihirisha sana, kupumu kwako, mifumo yako

ya mwili inavyofanya kazi ni ushahidi tosha au unataka alete
gharika kuu ndio usadiki?
 
Back
Top Bottom