Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.
Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari zake zote?