Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.
Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari
zake zote?
Ni kweli kabisa Mungu yupo, ni roho na kamili na ukamilifu wake haunaHuku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
Wako lunch wanakuja!Ni kweli kabisa Mungu yupo, ni roho na kamili na ukamilifu wake hauna
mipaka, na roho ya mwanadamu haifi bali inaishi milele kinokufa ni
mwili.
Watakavyokuja na panic 🤣Wako lunch wanakuja!
Kwani ukiwa Atheist lazima umzidi Elon musk utajiri?Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.
Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari
zake zote?
Kwa sababu wengi wanaocha kumuamini Mungu ni baada yaKwani Elon musk yeye ni nani? Kama ana amini ni yeye sio sisi
Shetani Leo asubuhi amekunywa sumu, baada ya Wakristo na Waislam na watu wa dini nyingine kishindwa kumuangamiza.Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.
Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari
zake zote?
Ni kwa sababu uchunguzi wangu nimegundua wengi wa TheistKwani ukiwa Atheist lazima umzidi Elon musk utajiri?
Utajiri haupatikani kwa kuwa Atheist.
Kila mtu anaweza kuwa tajiri haijalishi yeye ni Theist au Atheist.
Wapi huko.?Shetani Leo asubuhi amekunywa sumu, baada ya Wakristo na Waislam na watu wa dini nyingine kishindwa kumuangamiza.
Halafu mbona ni ninyi tu binadamu mnahangaika kumwelezea Mungu na kutetea uwepo wake, Anashindwa nini kuja kujitetea na kujidhihirisha yeye mwenyewe?Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
Uliza usichoelewa?Mbona uandishi wako sijauelewa lkini
Atheist mnaamini kwenye niniNi kwa sababu uchunguzi wangu nimegundua wengi wa Theist
wa hapa wanajitabainisha kwamba wamefanikiwa na ni matajiri na
wale wanaosali na kumuamini Mungu ni makapuku.
Hukuhuku ambako Wakristo wanamcharaza viboko shetani na Waislam wanampiga mawe shetaniWapi huko.?
Wanaamini kwamba mbunye ipo, ila hawamuamini aliyeiumba.Atheist mnaamini kwenye nini
Atheist gani alishawahi kujitabainisha hapa JF yeye ni tajiri?Ni kwa sababu uchunguzi wangu nimegundua wengi wa Theist
wa hapa wanajitabainisha kwamba wamefanikiwa na ni matajiri na
wale wanaosali na kumuamini Mungu ni makapuku.
Daima Mungu anajidhihirisha sana, kupumu kwako, mifumo yakoHalafu mbona ni ninyi tu binadamu mnahangaika kumwelezea Mungu na kutetea uwepo wake, Anashindwa nini kuja kujitetea na kujidhihirisha yeye mwenyewe?
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe yeye kama yeye, kama ana huo uwezo.
Vinginevyo, Ni nyie tu mnahangaika kumwelezea Mungu ambaye hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo kujidhihirisha mwenyewe.