Dexta
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 2,096
- 5,211
Unamatatizo wewe, kwani hapa tunabishana kuhusu nn?Uthibitisho tosha wa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamatatizo wewe, kwani hapa tunabishana kuhusu nn?Uthibitisho tosha wa nini?
Kabisa na wengi wao huwa wanaishia kujiua.Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa Atheist na kuugua ugonjwa wa akili....
Yeye Mungu kama aliacha ngano na magugu vikue pamoja, Wewe ni nani wa kusema hutaki magugu?Lakini alisema Magugu yatachomwa moto sasa hatutaki magugu
yachomwe moto ndio maana tunakumbushana 🤣.
Nakwambia hivi, mimi sio uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu wako wa kufikirika.Unamatatizo wewe, kwani hapa tunabishana kuhusu nn?
Aliacha hivyo kukupa wewe wajibu wa kumtii na kumuabuduKama unakubali uhuru wa kuamini, Kwa nini unapinga uhuru wa kuto kuamini?
Si ulishasema huyo Mungu ana acha ngano na magugu vikue pamoja, Sasa kwa nini tena iwe dhambi kumkufuru huyo Mungu?
Huyo Mungu si akae kwa kutulia, Akufuriwe vya kutosha maana aliacha ngano na magugu vikue pamoja badala ya kuvitenganisha mapema.
Kama huyo Mungu hataki kukufuriwa, kwa nini hakutenganisha ngano na magugu?
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Leta utafiti na uthibitisho unao eleza kwamba Atheists wengi wanajiua.Kabisa na wengi wao huwa wanaishia kujiua.
Huna mia ila elimu kidogo unayo ndio maana watu wa kawaidaMimi sina hata mia ila Mungu hayupo na Elon kuamini haithibitishi kwamba huyo Mungu yupo. Hakuna uhusiano wa imani ya mtu na mafanikio ya kiuchumi.
Kama alitupa wajibu wa sisi kumtii na kumuabudu, Kwa nini aliacha ngano na magugu vikue pamoja halafu atake vyote vimwabudu, ilhali alijua magugu hayataweza kumwabudu?Aliacha hivyo kukupa wewe wajibu wa wewe kumtii na kumuabudu
yeye aliyekuumba.
Nenda kasome utaona.Leta utafiti na uthibitisho unao eleza kwamba Atheists wengi wanajiua.
Kusadiki ni kuto kua na uhakika , kwa sababu Mungu haupo kweli, kama yupo thibitisha ili leo nijue Mungu yupo🤔Huna mia ila elimu kidogo unayo ndio maana watu wa kawaida
wengi wanasadiki Mungu yupo hata kama haendi kusali.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa Theist na mjinga asiyefikiri.Kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa Atheist na kuugua ugonjwa wa akili....
Wewe ambaye tayari umeshasoma, Leta hicho ulicho kisoma hapa, kinacho sema kwamba Atheists wengi wanajiua sana.Nenda kasome utaona.
Alijua wapo ambao hawata muabudu ila ametoa angalizo laKama alitupa wajibu wa sisi kumtii na kumuabudu, Kwa nini aliacha ngano na magugu vikue pamoja halafu atake vyote vimwabudu, ilhali alijua magugu hayataweza kumwabudu?
Hivi huyo Mungu wako anajielewa kweli?
Ndio yale niliyokuwa na kuambia kwamba Atheist wengiKuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa Theist na mjinga asiyefikiri.
Na wewe njoo na takwimu za kupinga kwamba hiyo sio kweli.Wewe ambaye tayari umeshasoma, Leta hicho ulicho kisoma hapa, kinacho sema kwamba Atheists wengi wanajiua sana.
We unataka Mungu hajidhirishe ili wewe umwamini kwamba yupo ila umesahau wewe hapo ulipo uneshindwa kujidhihirishA hata hapa jf una jina bandia picha bandia sisi tunaamini wewe upo kupitia maandishi yako yametosha kuthibitisha kwamba wewe upo sasa sisi hatuna shaka kwamba mungu yupo kwa vile sisi tupo vinginevyo kama Mungu hayupo na Binadamu tusingekuwepo.Halafu mbona ni ninyi tu binadamu mnahangaika kumwelezea Mungu na kutetea uwepo wake, Anashindwa nini kuja kujitetea na kujidhihirisha yeye mwenyewe?
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe yeye kama yeye, kama ana huo uwezo.
Vinginevyo, Ni nyie tu mnahangaika kumwelezea Mungu ambaye hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo kujidhihirisha mwenyewe.
Kuwa atheist sio lazima ufanikiwe kiuchumi ni swala la kukubaliana na ukweli tu na hali halisiNdio yale niliyokuwa na kuambia kwamba Atheist wengi
huwa wanaona kwamba wanaelewa kiasi cha kuhoji uwepo
wa Mungu na kuona wengine hawafikiri sawa sawa.
Kuzaliwa, kukua na kuishi kwako hilo tuu ni uthibitisho tosha.Kusadiki ni kuto kua na uhakika , kwa sababu Mungu haupo kweli, kama yupo thibitisha ili leo nijue Mungu yupo🤔
Ahahah,inatwa mitihani kaka,Ili tuthibitishe jinsi vile unamtegemea yeye na kumwamini!!!Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?