Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Kwanza mimi sijaumbwa ni wewe unafosi na kulazimisha mawazo yako uchwara kwamba nimeumbwa.

Hakuna Mungu Aliyeumba kitu chochote kile.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.

Huyo Mungu ana exist kwenye kichwa chako tu, Hayupo katika uhalisia.
Mimi binafsi sina wasiwasi na mawazo yako kwani najua tatizo lenu wala sina mashaka na nyinyi.
 
Yeye Mungu kama aliacha ngano na magugu vikue pamoja, Wewe ni nani wa kusema hutaki magugu?

Unaona unavyo jichanganya mwenyewe?

Huyo Mungu kama aliacha ngano na magugu vikue pamoja, Basi akae kwa kutulia akufuriwe vya kutosha mpaka pale atakapo pata akili ya kutenganisha ngano na magugu.

Maana huyo Mungu wenu inaonekana hajielewi kabisa.
Kumbe wewe ni mjumbe mzuri wa Mungu!
 
Asishurutishwe mtu aamini au asiamini uwepo wa mungu kila mtu alizaliwa peke yake vivyo hivyo atakufa peke yake
Elimu na Injili lazima iwafikie kwani kuna mtu katishiwa au kalazimishwa.

Mbona mnajihami sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20241217-204603_Chrome.jpg
    Screenshot_20241217-204603_Chrome.jpg
    242.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom