Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #141
Sisi tunazungumzia Atheists compare to Theists, hatuzungumziiWahehe wanao jinyonga sana mkoani Iringa na wao pia huwa ni Atheists.
sababu zote za kujiua kwa ujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunazungumzia Atheists compare to Theists, hatuzungumziiWahehe wanao jinyonga sana mkoani Iringa na wao pia huwa ni Atheists.
Umeenda Google kutafuta habari moja ya Atheists kujiua halafu ukafanya generalization kwamba Atheists wote duniani hujiua.Utafiti huu hapa soma kwa sababu wewe ni mvivu wa kusoma.
Hata Theists pia hujiua.Sisi tunazungumzia Atheists compare to Theists, hatuzungumzii
sababu zote za kujiua kwa ujumla.
Mungu ni roho ambayo ndio uhai uliopo kwenye kila kiumbe chenye uhai kama vile binadamu, wanyama, wadudu, miti, mimea n.k. watu hawamtaki Mungu hasa wa kwenye dini za kuletwa maana anasimuliwa kwa sifa za mwanadamu. Unapo sema Mungu kasema inamaana Mungu anaongea na ana mdomo.Kwa sababu wengi wanaocha kumuamini Mungu ni baada ya
kufanikiwa kidogo sasa Elon nimemtumia kama miongoni mwa
matajiri na watu waliofanikiwa zaidi duniani kuzidi nyie.
Yupo wapi?Ni kweli kabisa Mungu yupo, ni roho na kamili na ukamilifu wake hauna
mipaka, na roho ya mwanadamu haifi bali inaishi milele kinokufa ni
mwili.
Endelea kufanya rationalisation ila huo ndio ukweli nimekuwekea tafiti hapaUmeenda Google kutafuta habari moja ya Atheists kujiua halafu ukafanya generalization kwamba Atheists wote duniani hujiua.
Ni sawa na mtu kusikia habari ya mhehe mmoja mkoani Iringa kajinyonga, Anafanya hitimisho kwamba Wahehe wote mkoani Iringa hujinyonga.
This kind of fallacy is called Hasty Generalization.
Umeenda kuokoteza habari moja ya Atheists kujiua, ukafanya hitimisho kwamba Atheists wote duniani hujiua.
Nenda kajielimishe kwanza hiyo hasty generalization fallacy ni nini, Kabla ya kufanya conclusion zako uchwara zinazo tokana na tafiti zisizo jitosheleza.
Sijakataa ila tufanya comparison, Atheists ndio wanaongozaHata Theists pia hujiua.
Theist ni mtu mwenye imani kwa Mungu au miungu.
Hata watanzania wengi hujinyonga kila mwaka, Na wengi wa watanzania ni Theists(waamini Mungu), Wana imani kwa Mungu, ila bado wengi hujiua kila mwaka.
Kwa hivyo hata Theists hujiua vilevile.
Yupo kila mahali.Yupo wapi?
Huelewi hata hasty generalization fallacy ni nini.Endelea kufanya rationalisation ila huo ndio ukweli nimekuwekea tafiti hapa
ila wewe ni mvivu wa kusoma.
Hapa nilipo simuoni hiyo kila mahali ni ipi unayomaanishaYupo kila mahali.
I can't argue with you suffering from Major depression.Huelewi hata hasty generalization fallacy ni nini.
Halafu unajifanya kujua kusoma!!
It seems you are not mentally enough to reason and think properly and critically.
You are just here to advertise your ignorance.
Go and make thorough research before coming here to make arguments. Or else find someone of your league to parallel your mediocrity.
Upepo unauonaHapa nilipo simuoni hiyo kila mahali ni ipi unayomaanisha
Another petty bloated entitled brat throwing tantrums.I can't argue with you suffering from Major depression.
You just go for Psychotherapy first.
Miti, mabonde, milima na hata wewe mwenyewe niUpepo unauona
Kufanikiwa kimaisha na kuacha kuamini uwepo wa Mungu havina uhusiano.Kwa sababu wengi wanaocha kumuamini Mungu ni baada ya
kufanikiwa kidogo sasa Elon nimemtumia kama miongoni mwa
matajiri na watu waliofanikiwa zaidi duniani kuzidi nyie.
Kwahiyo unamfuata Elon, akiliwa kiboga na wewe utakubali kuliwa au..?Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.
Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari zake zote?
View attachment 3179026
Huyo mungu alitokea wapi...?Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
Wewe umeelewa nini?Nimekuwa nikiendesha malumbano ya hoja na wachamungu nilichobaini wakristo ni weupe haswa kichwani afadhali waislam.Huu ndiyo ulokole na ni afadhali wachamungu waliopita shule kuliko vinginevyo kwani kilichoujaza moyo wa mlokole ni wehu tu.Mfano ulio hai ni mleta mada kweli katuchokoza lakini mliobahatika kumwelewa alilenga nini hasa?