Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Utafiti huu hapa soma kwa sababu wewe ni mvivu wa kusoma.
Umeenda Google kutafuta habari moja ya Atheists kujiua halafu ukafanya generalization kwamba Atheists wote duniani hujiua.

Ni sawa na mtu kusikia habari ya mhehe mmoja mkoani Iringa kajinyonga, Anafanya hitimisho kwamba Wahehe wote mkoani Iringa hujinyonga.

This kind of fallacy is called Hasty Generalization.

Umeenda kuokoteza habari moja ya Atheists kujiua, ukafanya hitimisho kwamba Atheists wote duniani hujiua.

Nenda kajielimishe kwanza hiyo hasty generalization fallacy ni nini, Kabla ya kufanya conclusion zako uchwara zinazo tokana na tafiti zisizo jitosheleza.
 
Sisi tunazungumzia Atheists compare to Theists, hatuzungumzii

sababu zote za kujiua kwa ujumla.
Hata Theists pia hujiua.

Theist ni mtu mwenye imani kwa Mungu au miungu.

Hata watanzania wengi hujinyonga kila mwaka, Na wengi wa watanzania ni Theists(waamini Mungu), Wana imani kwa Mungu, ila bado wengi hujiua kila mwaka.

Kwa hivyo hata Theists hujiua vilevile.
 
Kwa sababu wengi wanaocha kumuamini Mungu ni baada ya
kufanikiwa kidogo sasa Elon nimemtumia kama miongoni mwa

matajiri na watu waliofanikiwa zaidi duniani kuzidi nyie.
Mungu ni roho ambayo ndio uhai uliopo kwenye kila kiumbe chenye uhai kama vile binadamu, wanyama, wadudu, miti, mimea n.k. watu hawamtaki Mungu hasa wa kwenye dini za kuletwa maana anasimuliwa kwa sifa za mwanadamu. Unapo sema Mungu kasema inamaana Mungu anaongea na ana mdomo.
 
Umeenda Google kutafuta habari moja ya Atheists kujiua halafu ukafanya generalization kwamba Atheists wote duniani hujiua.

Ni sawa na mtu kusikia habari ya mhehe mmoja mkoani Iringa kajinyonga, Anafanya hitimisho kwamba Wahehe wote mkoani Iringa hujinyonga.

This kind of fallacy is called Hasty Generalization.

Umeenda kuokoteza habari moja ya Atheists kujiua, ukafanya hitimisho kwamba Atheists wote duniani hujiua.

Nenda kajielimishe kwanza hiyo hasty generalization fallacy ni nini, Kabla ya kufanya conclusion zako uchwara zinazo tokana na tafiti zisizo jitosheleza.
Endelea kufanya rationalisation ila huo ndio ukweli nimekuwekea tafiti hapa

ila wewe ni mvivu wa kusoma.
 
Hata Theists pia hujiua.

Theist ni mtu mwenye imani kwa Mungu au miungu.

Hata watanzania wengi hujinyonga kila mwaka, Na wengi wa watanzania ni Theists(waamini Mungu), Wana imani kwa Mungu, ila bado wengi hujiua kila mwaka.

Kwa hivyo hata Theists hujiua vilevile.
Sijakataa ila tufanya comparison, Atheists ndio wanaongoza

Kati ya Atheists 5, watatu wana mental health issues.
 
Endelea kufanya rationalisation ila huo ndio ukweli nimekuwekea tafiti hapa

ila wewe ni mvivu wa kusoma.
Huelewi hata hasty generalization fallacy ni nini.

Halafu unajifanya kujua kusoma!!

It seems you are not mentally enough to reason and think properly and critically.

You are just here to advertise your ignorance.

Go and make thorough research before coming here to make arguments. Or else find someone of your league to parallel your mediocrity.
 
I can't argue with you suffering from Major depression.

You just go for Psychotherapy first.
 
Nimekuwa nikiendesha malumbano ya hoja na wachamungu nilichobaini wakristo ni weupe haswa kichwani afadhali waislam.Huu ndiyo ulokole na ni afadhali wachamungu waliopita shule kuliko vinginevyo kwani kilichoujaza moyo wa mlokole ni wehu tu.Mfano ulio hai ni mleta mada kweli katuchokoza lakini mliobahatika kumwelewa alilenga nini hasa?
 
Kwa sababu wengi wanaocha kumuamini Mungu ni baada ya
kufanikiwa kidogo sasa Elon nimemtumia kama miongoni mwa

matajiri na watu waliofanikiwa zaidi duniani kuzidi nyie.
Kufanikiwa kimaisha na kuacha kuamini uwepo wa Mungu havina uhusiano.
Mimi sijafanikiwa kimaisha na wala siamini kama Mungu yupo.
 
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema

hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.

Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye dini ila anamini katika ukristo na uwepo wa
Mungu na kwa kipindi cha hivi karibuni amezidi kuamini sana.

Je ndugu zangu mnamkataa shetani na mambo yake na fahari zake zote?
View attachment 3179026
Kwahiyo unamfuata Elon, akiliwa kiboga na wewe utakubali kuliwa au..?
 
Nimekuwa nikiendesha malumbano ya hoja na wachamungu nilichobaini wakristo ni weupe haswa kichwani afadhali waislam.Huu ndiyo ulokole na ni afadhali wachamungu waliopita shule kuliko vinginevyo kwani kilichoujaza moyo wa mlokole ni wehu tu.Mfano ulio hai ni mleta mada kweli katuchokoza lakini mliobahatika kumwelewa alilenga nini hasa?
Wewe umeelewa nini?
 
Back
Top Bottom