Ahsante mkuu 'Retired', mada ya namna hii niliiwazia muda kitambo. Nashukuru hatimae imewasili.It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Kama mikataba iko fair hakuna shida ndio maendeleo hayoIt is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.
6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²
7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania
8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.
9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Na tushafahamika tunachopenda hivyo hata migogoro mbalimbali inaweza tengezwa ili kusahaulishwa mambo ya msingi kama haya. Wati kila siku kuongelea sijui simba, bodi ya liga mara yangaSisi tunavyokataka mauno,kubishana mipira na kufatilia udaku mambo ya wasanii
Tumeridhikaaa
Ova
Toka lini hii inchi ilishawahi kuwa na mikataba ya haki,zaidi ya kudalalia inchiKama mikataba iko fair hakuna shida ndio maendeleo hayo
Ukifuatilia utagundua kuwa kwenye makampuni hayo, vigogo waandamizi wa CCM wan hisa zao humo.It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.
6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²
7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania
8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.
9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.

EXACTLYUkifuatilia utagundua kuwa kwenye makampuni hayo, vigogo waandamizi wa CCM wan hisa zao humo.
Akili hamna,teknoloji hamna na mnazidi kuzaa.It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.
6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²
7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania
8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.
9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Kila sehemu Mtanzania ni tapeli na mharibifu asiyefaa.Binafsi sioni shida wawekezaji kuingia mikataba..yaani sisi ngozi nyeusi ni shida sana ..tukipewa tender ni full kuiba mfano bandarini wakati tunasimamia sisi (akina masamaki) ilikuwa ni full kuihujumu nchi kwa wizi ..Bora wawekezaji maana faida wanaleta