Salamu za asubuhi ni hizi hapa. Mwenye akili na some, machawa piteni tu isiwe shida

Mafuta ya SAUDIA 80% anachimba na kurefine USA..kama mwekezaji..kikubwa ni akili tu
Eleza hizo "akili" anazo tumia Saudia; kama ndizo tunazo tumia sisi hapa wakati huu.
 
Now 1 riyal ya Saudi ni usd 3.3..
Akili tu kwenye uwekezaji na kucheza na mikataba ..ila bongo Sasa kwenye mikataba anayesign kwanza ana njaa hivyo mkataba lazima 10% ihusike
Itakuwa ni zaidi ya hayo ya 10%
 
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.

ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.

Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini

2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)

3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba

4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje

5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.

6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²

7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania

8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.

9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.

10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Kule Zanzibar wamepewa nini?

With all due respect, Mwalimu ataendelea kuwa Rais wa Hovyo kutokea. Mara nyingi sana misingi ya nchi inajengwa na Rais wa kwqnza

Mwalimu was not Smart guy, alitengeneza katiba ambayo itamlinda. He failed to forecast future generation needs

MATATIZO yote yeye ndio chanzo.

Tulipaswa kuwa na nchi ya ushindani.

Yaani chama chochote kiwe na uwezo wa kuingia madarakani kama kitashinda kwenye Sanduku.

CCM haiwezi kukosolewa na CCM.

Mwalimu aliweka mifumo ya hovyo, na hizi fear za wananchi kuwa waoga na
Keyboard Warriors alie instIll ni yeye.

Zaman ilkuwa ukimpinga mwalimu anakuua.

Kama lile Jaribio la Mapinduzi lingetiki, I am prety sure tungekuwq na TZ nyingine na wananchi wangekuwa na akili sana

What I see, ni something fishy must happen in Tanzania ili tuheshimiane na CCM iheshimu mali za Umma

Otherwise ni waste of time
Kila utakaemsikia kuhusu miaka 4 ya Samia ni mama this mama that, but ukiangalia in reality mambo ni yale yale na umasikini ni ule ule

Pambaneni tu kwa kweli, thanks God niliamisha my Family now wanapata elimu bora, Afya bora etc …..
HUKO sijawahi kuona viongozi wa chini wakisifia viongozi wa juu …. Never seen that 🤣
 
Akili hamna,teknoloji hamna na mnazidi kuzaa.

Ulitaka Serikali itumie kampasi zako ndio yawe madawa na hela za kuwasomeshea huko?

Mwisho punguza upumbavu, uwekezaji sio kupewa au.kugawa hata China wamejaa hao hao 👇👇

View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1904770037568708903?t=r6kNJL970GM4-YVNyYb7VQ&s=19

Wewe una shida, unaleta siasa kwenye mambo ya msingi.
Mwalimu Nyerere alijua sana juu ya uwepo wa raslimali zote hizo. Hata hivyo pamoja na umaskini mkubwa uliokuwepo hakuthubutu kuuza au kugawa hizi raslimali kwa wageni. Aliamini kwa dhati raslimali hizi ni mali ya watanzania wote, hivyo aliamua kuwekeza kwenye elimu tena ya bure kwa kila mtanzania mwenye uwezo wa kiakili kufaulu aendelee mpaka chuo kikuu bure.
Nia yake apate wasomi wenye uwezo wa kuzalishq na kusimamia hizo raslimali na siyo kuzigawa kijinga kisa hatunq tekinolojia. Kama angeamua kuzigawa leo tungekuwa tunasoma kwenye Somo la historia,kuwa tuliwahi kuwa na madini ya dhahabu au almasi na mbuga za wanyama. Lakini kwa kuwa alikuwa ni kiongozi wa nchi mwenye maono, ambaye mpaka anaondoka aliacha viwanda lukuki vilivyoendeshwa na kusimamiwa na wazawa. Miaka ya 80 mpaka mwanzoni mwa mwa 90,ilikuwa kawaida mida ya kuanzia saa 10 alasiri kuona mabasi ya viwanda mbalimbali yakirejesha wafanyakazi kutoka makazini. Alihakikisha Kila zao linalolimwa hapa Tanzania anajenga kiwanda chake.
Ninachotakq kusema.
Haraka ni ya nini kama hatujawa tayari kusimamia raslimali si tusubiri!!
Almasi ya Mwadui iligunduliwa 1940, na Geologist John Williamson (Mkanada)wakati wa ukoloni, lakini tulipopata uhuru,wakati kampuni ikiwa chini Debeers wa South Africa ambao walinunua kutoka kwa ndugu wa Williamson baada ya yeye kufariki 1958 , Mwalimu alizidai hisa za Tanganyika na tulipewa 51%. Hakuishia hapo kikajengwa kiwanda cha kuchonga almasi huko Iringa ili kuhakikisha thamani ya almasi inapanda.
Sasa ukisema kwa kuwa hatuna tekinolojia leo, ni ajabu sana. Ninachokumbuka hata mgodi wa Mwadui kuanzia 1973 uliongozwa na watanzania ambao wengi walikuwa wamesomeshwa nje haswa Canada na ni baada ya uhuru to. Na ukweli walifanya vizuri sana,na hata migodi iliyogawiwa kwa wawekezaji baadaye kama bulyankulu na Geita gold mine sehemu kubwa ya wataalam walitoka Mwadui.
Hivyo tukidhamiria kuhakikisha watu wetu wanakuwa na ujuzi na weledi tunaweza kama nchi.
Yote tuliyowagawia hao wageni yako kwenye uwezo wetu tukiamua kwa dhati kuwa na siasa safi na uongozi bora.
Wakina Traore wa Bukinafaso wamepata wapi wataalam wa kusimamia hizo raslimali zao ghafla tu walipoingia madarakani? Labda kwa kuwa yeye mwenyewe ni Geologist pengine imechangia, lakini mpaka kuunda magari ya umeme na siyo fani yake!!
Ni wazi wataalam walikuwepo zaidi walikuwa wamepuuzwa tu kama anavyosema Profesa Anna Tibaijuka, utaalam upon ila siasa inaingilia utaalam,mahali penye mafuriko mnajenga stendi ya mabasi ya mwendo kasi.
 
Hao wasomi mtawapata lini? Siasa imeingiliaje ?

Pia hakujua chochote kama unavyodai maana meli nyingi tuu zilikuwa hazijagunuliwa.

Mfumo wake wa Uchumi haukuwa na components ya uwekezaji so usidhani Kila mtu ni mjinga hapa.

Mwisho migodi kuwa na Meneja mweusi Haina maana yeyote Kwa Nchi Kwa sababu hao ni Watumishi sio wamiliki,hata huko Barrick mameneja weusi wamejaa.

Naendelea kusisitiza Dunia ya Sasa haiendi bila uwekezaji,akili hizo hizo za kijinga eti mnasubiria ndio zimefanya makaa ya Mawe yakose Kwa kuyapeleka.

Na Dunia Sasa inahamia kwenye hydrogen,endeleeni kujivuta huku mkifarijiana Kwa ujinga wenu wa mentality za kijamaa zisizo na maana.
 
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.

ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.

Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini

2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)

3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba

4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje

5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.

6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²

7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania

8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.

9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.

10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Huwa inaniuma mpaka fikra ya mwisho. Ukiona mijitu inachojua ni kupiga makofi, kusifu, kuabudu na kujichekesha kama vichaa.. wewe mtawala uza, gawa, kwapua, pora tu, maana hakuna wa kukufanya lolote. Nashangaa Magufuli alipingwa waziwazi pamoja na ubabe wake lakini leo watu wametulia kama wamelogwa.
 
Kule Zanzibar wamepewa nini?

With all due respect, Mwalimu ataendelea kuwa Rais wa Hovyo kutokea. Mara nyingi sana misingi ya nchi inajengwa na Rais wa kwqnza

Mwalimu was not Smart guy, alitengeneza katiba ambayo itamlinda. He failed to forecast future generation needs

MATATIZO yote yeye ndio chanzo.

Tulipaswa kuwa na nchi ya ushindani.

Yaani chama chochote kiwe na uwezo wa kuingia madarakani kama kitashinda kwenye Sanduku.

CCM haiwezi kukosolewa na CCM.

Mwalimu aliweka mifumo ya hovyo, na hizi fear za wananchi kuwa waoga na
Keyboard Warriors alie instIll ni yeye.

Zaman ilkuwa ukimpinga mwalimu anakuua.

Kama lile Jaribio la Mapinduzi lingetiki, I am prety sure tungekuwq na TZ nyingine na wananchi wangekuwa na akili sana

What I see, ni something fishy must happen in Tanzania ili tuheshimiane na CCM iheshimu mali za Umma

Otherwise ni waste of time
Kila utakaemsikia kuhusu miaka 4 ya Samia ni mama this mama that, but ukiangalia in reality mambo ni yale yale na umasikini ni ule ule

Pambaneni tu kwa kweli, thanks God niliamisha my Family now wanapata elimu bora, Afya bora etc …..
HUKO sijawahi kuona viongozi wa chini wakisifia viongozi wa juu …. Never seen that 🤣
Very correct! ukiandika kuwa Nyerere hapashwi kuwa mtakatifu, mijitu inaleta makamasi bila kuona hoja kama ulivy narrate hapa. Nyrere ni rais wa hovyo sana kutokea maana ndiye aliweka katiba mbovu akijua fika kuwa anawea kuja kichaa akaitumia kuumiza nchi na watu wake, rasilimali zake etc etc....
 
What I see, ni something fishy must happen in Tanzania ili tuheshimiane na CCM iheshimu mali za Umma
That has been my contemplation from time immemorial! Huyu anauza vya Tanganyika, vya abisa. Kwani hakuna mali ambazo waarabu, wzungu and the like wanazitaka? Why is all from Tanganyika?
 
It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.

ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.

Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini

2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)

3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba

4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje

5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.

6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²

7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania

8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.

9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.

10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.

MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Waarabu wa Qatar ndio waliopewa nafasi na FIFA kuandaa kombe la dunia...

Familia ya kifalme ya Qatar ndio iliyoweza KUWAKUTANISHA mahasimu Rais Kagame na Rais Tshekedi japo aliapa kuwa hatakaa meza moja na Kagame hapa duniani......

Martin Maranja ni mjinga mjinga sana tu ...
 
Leo CAG ametanabahisha kuwa T.R.C ilikaribia kushindwa kujiendesha......

Kwa hiyo uamuzi kwa mwekezaji wa Kichina ni makosa?!!!
 
That has been my contemplation from time immemorial! Huyu anauza vya Tanganyika, vya abisa. Kwani hakuna mali ambazo waarabu, wzungu and the like wanazitaka? Why is all from Tanganyika?
The Government of Zanzibar has given a HOST to Qatari Investors Group(QIG) to investment in tourism sector......
 
Waarabu wa Qatar ndio waliopewa nafasi na FIFA kuandaa kombe la dunia...

Familia ya kifalme ya Qatar ndio iliyoweza KUWAKUTANISHA mahasimu Rais Kagame na Rais Tshekedi japo aliapa kuwa hatakaa meza moja na Kagame hapa duniani......

Martin Maranja ni mjinga mjinga sana tu ...
Kuwa realistic, Martin siyo mjinga.
 
Ile Mou ilisainiwa na CHAMBERS OF COMMERCE ya Zanzibar na Tanzania na Qatar katika uwekezaji wa sekta ya GAS na OIL......

Tuwe na taarifa sahihi!!
 
The Government of Zanzibar has given a HOST to Qatari Investors Group(QIG) to investment in tourism sector......
kwa miaka mingapi? unadhani tourism kujenga vihotel ni sawa na ku deplete madini for zero gain? kuwa na deep thinking
 
Zanzibar nayo ina gesi na mafuta ,ile MoU iliyosainiwa ilihusisha na sekta hiyo pia na si hizo hoteli tu....
 
Kiukweli hii awamu ina speed sana kwenye kuuza rasilimali za nchi. Samia hana maumivu kabisa na mali za Tanganyika
 
Back
Top Bottom