ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kabla ya hizo unazoita Mali kugawiwa wewe ulikuwa unafaidi minyama?Ahsante mkuu 'Retired', mada ya namna hii niliiwazia muda kitambo. Nashukuru hatimae imewasili.
Sasa nakuomba tuachane na ya uchaguzi ndani ya chama, tuyatazame haya muhimu zaidi yanayo husu nchi yetu.
Sishangai kwamba kwenye orodha hiyo hapo juu hukuweka "Waarabu wa Oman" (wajomba zetu), waliokabidhiwa Gesi ya Ntorya kule Mtwara kimya kimya.
Bila shaka kuna mengi mengine yasiyo julikana kwa sasa, na itakuwa balaa zaidi endapo utawala huu utapata miaka mingine mitano kuendelea kugawa Bandari, kama Bagamoyo na maliasili zetu nyingine kama vichaa!
Kama ulivyo eleza kwa kifupi hapo juu, mada hii itawaingia sana hao walio amua kutunadisha; akina Kafulila na wenzao kwa kupewa tu makombo kwa manufaa yao wenyewe.
Wajomba wale wamepewa eneo la Kilimanjaro International Airport (KIA) piaAhsante mkuu 'Retired', mada ya namna hii niliiwazia muda kitambo. Nashukuru hatimae imewasili.
Sasa nakuomba tuachane na ya uchaguzi ndani ya chama, tuyatazame haya muhimu zaidi yanayo husu nchi yetu.
Sishangai kwamba kwenye orodha hiyo hapo juu hukuweka "Waarabu wa Oman" (wajomba zetu), waliokabidhiwa Gesi ya Ntorya kule Mtwara kimya kimya.
Bila shaka kuna mengi mengine yasiyo julikana kwa sasa, na itakuwa balaa zaidi endapo utawala huu utapata miaka mingine mitano kuendelea kugawa Bandari, kama Bagamoyo na maliasili zetu nyingine kama vichaa!
Kama ulivyo eleza kwa kifupi hapo juu, mada hii itawaingia sana hao walio amua kutunadisha; akina Kafulila na wenzao kwa kupewa tu makombo kwa manufaa yao wenyewe.
Yaani ni ushenzi mtupuSisi tunavyokataka mauno,kubishana mipira na kufatilia udaku mambo ya wasanii
Tumeridhikaaa
Ova
Wanajua kupiga kelele tu za kijinga ila hata kuvuka mto wanaliwa na mamba kwa sababu akili hata ya kufunga kamba hawanaAkili hamna,teknoloji hamna na mnazidi kuzaa.
Ulitaka Serikali itumie kampasi zako ndio yawe madawa na hela za kuwasomeshea huko?
Mwisho punguza upumbavu, uwekezaji sio kupewa au.kugawa hata China wamejaa hao hao 👇👇
View: https://x.com/ChenMingjian_CN/status/1904770037568708903?t=r6kNJL970GM4-YVNyYb7VQ&s=19
Mara kadhaa nimechangia nyuzi nyingi na madai na msimamo wangu huwa wazi kabisa kwamba chanzo Cha matatizo ya mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kwanza,wengine ndo wanafuata.Eti wazungu wamefikiwa leo
Huwa hawatajwi hawa bali waarabu tu
Hongera kuwaambia hawa wanaokuja na mada za kusema ooh tunaibiwa
Cha kushangaza kama mababu walipandishwa mitumbwi kwa kuuzwa na ndugu iktakuwa leo?
Mikataba wanasaini wazawa na lawama zimuangukie mwarabu
Mmerogwa nyie
Kama hamuwezi kufanya wenyewe kwa umasikini wa akili acha wengine wafanye na nyie muwe wapaliliaji tu
Akili mkuuMara kadhaa nimechangia nyuzi nyingi na madai na msimamo wangu huwa wazi kabisa kwamba chanzo Cha matatizo ya mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kwanza,wengine ndo wanafuata.
Kwa namna ambayo huwa tuna Saini mikataba ya rasilimali muhimu huwa namuunga mkono kaburu Botha kuwa toa watu weusi kwenye ya maendeleo.
ninamaoni kuhusiana na hiki ulichoandikaKila sehemu Mtanzania ni tapeli na mharibifu asiyefaa.
Duni nzima ni mwendo wa uwekezaji tuu
Na iwapo kutatokea ngwe ya 2025 hadi 2030, hapo ndipo tutakopo jionea kufuru ya hawa watu!Wajomba wale wamepewa eneo la Kilimanjaro International Airport (KIA) pia
Yes, there you are..!Nilivyoielewa hii mada kutokana na uwepo wa hiyo repetition katika mada yenyewe na mchango ulio post #2, shida inayosemwa hapa ni hao waarabu. Hao wengine wamewekwa kama 'helping characters' tu.
Hapana..Akili mkuu
Hilo ndio tatizo
Mara kadhaa nimechangia nyuzi nyingi na madai na msimamo wangu huwa wazi kabisa kwamba chanzo Cha matatizo ya mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kwanza,wengine ndo wanafuata.
Sikubaliani hata kwa chembe ndogo tu na hii dhana potofu kabisa.
Kwa namna ambayo huwa tuna Saini mikataba ya rasilimali muhimu huwa namuunga mkono kaburu Botha kuwa toa watu weusi kwenye ya maendeleo.
afadhali umemjibu, asanteToka lini hii inchi ilishawahi kuwa na mikataba ya haki,zaidi ya kudalalia inchi
Haijalishi awe mwarabu au mchina au yeyote yule; sasa hivi ni Mwarabu ndiye anayepewa bega zaidi ya hao wengine wote.Yes, there you are..!
Wazungu wamekuwa wakijichotea rasilimali zetu miaka nenda rudi. Leo hii kaja mwarabu late kabisa basi mikeleeele utadhani Mwarabu ndo alotutia umasikini
Sina tena muda wa kuhangaika kujibu maandishi toka kwa maiti kama ulivyo wewe.Kabla ya hizo unazoita Mali kugawiwa wewe ulikuwa unafaidi minyama?
Mkuu hata ww ni mwizininamaoni kuhusiana na hiki ulichoandika
Kama Watanzania wote na kila mahali ukiwaweka, wataiba tu
Unakataaje kwamba serikali hii inayoongozwa na Watanzania wanaiba kupitia mikataba hii sasa?
Watanzania popote wakiwekwa ni wezi, Je Hata kiongozi wetu mkuu anaangukia kwenye sentensi zako maana na yeye yuko kwenye kitengo?
Mwisho, Acha ujinga wako na tabia zako za wizi pamoja na chama chako then uwahusishe Watanzania wote
Mafuta ya SAUDIA 80% anachimba na kurefine USA..kama mwekezaji..kikubwa ni akili tuHaijalishi awe mwarabu au mchina au yeyote yule; sasa hivi ni Mwarabu ndiye anayepewa bega zaidi ya hao wengine wote.
Lakini kama unataka kuweka maana yako nyingine, hilo ni shauri lako mwenyewe.
Hebu jiulize, kama hawa waarabu ingetokea na wao wakatapanya mali zao za gesi na mafuta kama tunavyo fanya sisi sasa hivi, hizi nchi za kiarabu wakati huu zingekuwa na hali gani?
Kwa nini nasi tusijifunze toka kwao; jinsi walivyoweza kuadili hali za nchi zao kwa kutumia utajiri wa mafuta na gesi walio jaliwa?
Kwa nini na wao sasa wawe sehemu ya kuja kuchota kwetu na kutuacha maskini wa kutupwa?
Now 1 riyal ya Saudi ni usd 3.3..Haijalishi awe mwarabu au mchina au yeyote yule; sasa hivi ni Mwarabu ndiye anayepewa bega zaidi ya hao wengine wote.