Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mbona deni la Taifa linapanda sana. Ina maama hawa wawekezaji hawatoi hata Mia?Kiukweli hii awamu ina speed sana kwenye kuuza rasilimali za nchi. Samia hana maumivu kabisa na mali za Tanganyika
Kila sehemu Mtanzania ni tapeli na mharibifu asiyefaa.
Duni nzima ni mwendo wa uwekezaji tuu
Duuh Hatari!It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.
6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²
7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania
8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.
9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Ahsante mkuu 'Retired', mada ya namna hii niliiwazia muda kitambo. Nashukuru hatimae imewasili.
Sasa nakuomba tuachane na ya uchaguzi ndani ya chama, tuyatazame haya muhimu zaidi yanayo husu nchi yetu.
Sishangai kwamba kwenye orodha hiyo hapo juu hukuweka "Waarabu wa Oman" (wajomba zetu), waliokabidhiwa Gesi ya Ntorya kule Mtwara kimya kimya.
Bila shaka kuna mengi mengine yasiyo julikana kwa sasa, na itakuwa balaa zaidi endapo utawala huu utapata miaka mingine mitano kuendelea kugawa Bandari, kama Bagamoyo na maliasili zetu nyingine kama vichaa!
Kama ulivyo eleza kwa kifupi hapo juu, mada hii itawaingia sana hao walio amua kutunadisha; akina Kafulila na wenzao kwa kupewa tu makombo kwa manufaa yao wenyewe.
WACHA TUNACHAMBU.MPIRA KWANZA 24HRSIt is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi.
ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA.
Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1
BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
.Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2.Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue Carbon LLC) wamepewa kusimamia na kuhifadhi misitu ya Tanzania. Hii ni hekta milioni 8.1 (8% ya ardhi yote)
3.Watu wa Korea Kusini wamekabidhiwa kipande cha bahari ya Hindi na ardhi wachimbe madini nadra. Ajabu, hawa na mkopo wametoa na TUTALIPA na riba
4.Watu wa Australia (URANEX) wamepewa ardhi nzuri wachimbe madini nadra ya kimkakati na graphite Mkoa wa Lindi. Kampuni zao tatu zitauza madini nje
5.Watu wa Canada (BARRICK GOLD) wanaondoka na dhahabu. Hawajajenga hata smelters moja. Wanaacha mashimo na watu wetu kupigwa risasi nyingi.
6.Waarabu familia ya kifalme Dubai (OBC) wameongezewa ardhi 1,500km² kutoka 4,000km² zilizokuwa kwa Maasai wao wamebaki na 2,500km²
7.Watu kutoka Netherlands (SHELL) na Norway (EQUINOR) wamepewa kuchimba gesi asilia katika bahari kuu kusini, eneo la Likong’o, Lindi, Tanzania
8.Waarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wamepewa kuendesha huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), Jiji la Dar es Salaam.
9.Watu wa France, Maurel & Prom Exploration Production (T) Ltd. (MPEP) wamenunua hisa kitalu cha uzalishaji wa gesi asilia cha Mnazi Bay, Mtwara.
10.Kandarasi ujenzi Bwawa la Nyerere (JNHPP) kapewa Egypt. Kandarasi ya ujenzi wa SGR kapewa China na Turkey. Waswahili mtapewa Kanda Bongoman.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
😅😅😅WACHA TUNACHAMBU.MPIRA KWANZA 24HRS
Hivi MABEBERU ni akina nani. Kumbukumbu zangu ni kuwa hawa kila siku husemwa humu. Hivi waarabu wakisemwa huwa kuna shida gani?Eti wazungu wamefikiwa leo
Huwa hawatajwi hawa bali waarabu tu
Utapeli na ubinafsi ni sifa ya Mtanzania.Hata hawa watanzania wa dini ya mtume nao ni matapeli?
Kwani kuna shida basi?Hivi MABEBERU ni akina nani. Kumbukumbu zangu ni kuwa hawa kila siku husemwa humu. Hivi waarabu wakisemwa huwa kuna shida gani?
Naamini kuna siku hawa watu "ukondoo" utawaondoka. Ole wao hao mawakala wa hao waarabu/mabeberu, watalia na kusaga meno.Kwani kuna shida basi?
Shida ni akili tu zinafanya watu waone kuwa nchi inachukuliwa badala wao huku nyie ndio mnasaini mikataba
Sasa hapo shida iko kwa mwarabu na beberu au kondoo
Naomba Mungu hii dua yako ikubalike.Naamini kuna siku hawa watu "ukondoo" utawaondoka. Ole wao hao mawakala wa hao waarabu/mabeberu, watalia na kusaga meno.
Umeongea ukweli mtupu huku watu hawana akili za kujisimamia wenyewe,Magufuli aliposimamia rasilimali walimshangilia, Mama anagawa rasilimali wanamshangilia hizo ndiyo akili za CCMKule Zanzibar wamepewa nini?
With all due respect, Mwalimu ataendelea kuwa Rais wa Hovyo kutokea. Mara nyingi sana misingi ya nchi inajengwa na Rais wa kwqnza
Mwalimu was not Smart guy, alitengeneza katiba ambayo itamlinda. He failed to forecast future generation needs
MATATIZO yote yeye ndio chanzo.
Tulipaswa kuwa na nchi ya ushindani.
Yaani chama chochote kiwe na uwezo wa kuingia madarakani kama kitashinda kwenye Sanduku.
CCM haiwezi kukosolewa na CCM.
Mwalimu aliweka mifumo ya hovyo, na hizi fear za wananchi kuwa waoga na
Keyboard Warriors alie instIll ni yeye.
Zaman ilkuwa ukimpinga mwalimu anakuua.
Kama lile Jaribio la Mapinduzi lingetiki, I am prety sure tungekuwq na TZ nyingine na wananchi wangekuwa na akili sana
What I see, ni something fishy must happen in Tanzania ili tuheshimiane na CCM iheshimu mali za Umma
Otherwise ni waste of time
Kila utakaemsikia kuhusu miaka 4 ya Samia ni mama this mama that, but ukiangalia in reality mambo ni yale yale na umasikini ni ule ule
Pambaneni tu kwa kweli, thanks God niliamisha my Family now wanapata elimu bora, Afya bora etc …..
HUKO sijawahi kuona viongozi wa chini wakisifia viongozi wa juu …. Never seen that 🤣
Ukimweleza Kitila Mkumbo, au Kafulila, Kabuti Kalamagamba au Mwigulu habari kama hizi ulizoweka hapa atakuona kuwa huna akili nzuri kichwani. Lakini naamini sasa, kuwa kuna siku inakuja hawa walafi watawajibishwa tu.Naomba Mungu hii dua yako ikubalike.
Na aje jemedari mmoja ambae atawaamsha kwenye hali hii ya ukondoo
Ni lazima tubadilike kwa manufaa ya Taifa letu
Kuwekeza sio mbaya lakini kama ni wachache tu wanafaidika na bado wakiendeleza kuwaandaa watoto wao na kuwafanya eti chipukizi wa Chama wakijua baada ya miaka 25 watakuwa na majimbo, basi hawa ndio wa kuwashughulikia mapema
Hawa Waarabu hawakugundua mafuta bali wazungu
Lakini hawakuwa wajinga walitaka wanufaike na hayo mafuta kwa vitendo.
Na ndio maana unaona nchi zao zinavyofaidi matunda ya mafuta yao ingawa ardhi yao ni jangwa lakini kwa hela walizonazo wameweza kubadilisha sehemu nyingi na kuwa kijani
Mpaka wazee wao hawakusaini makaratasi kijinga bali walihakikisha wanapata faida kubwa
Leo Oman wamemaliza mkataba wa miaka 50 na 💯 ya makampuni ya mafuta ni ya kwao
Na sasa ni mwendo wa Nationalization
Na sisi tunaweza kama vijana wataamua bila kuwa na tamaa
Maana hata hawa waliopo walikuwa vijana pia ila waroho
You're utterly out of order, Mwalimu has nothing to do with the current situation, and you very well know that!Kule Zanzibar wamepewa nini?
With all due respect, Mwalimu ataendelea kuwa Rais wa Hovyo kutokea. Mara nyingi sana misingi ya nchi inajengwa na Rais wa kwqnza
Mwalimu was not Smart guy, alitengeneza katiba ambayo itamlinda. He failed to forecast future generation needs
MATATIZO yote yeye ndio chanzo.
Tulipaswa kuwa na nchi ya ushindani.
Yaani chama chochote kiwe na uwezo wa kuingia madarakani kama kitashinda kwenye Sanduku.
CCM haiwezi kukosolewa na CCM.
Mwalimu aliweka mifumo ya hovyo, na hizi fear za wananchi kuwa waoga na
Keyboard Warriors alie instIll ni yeye.
Zaman ilkuwa ukimpinga mwalimu anakuua.
Kama lile Jaribio la Mapinduzi lingetiki, I am prety sure tungekuwq na TZ nyingine na wananchi wangekuwa na akili sana
What I see, ni something fishy must happen in Tanzania ili tuheshimiane na CCM iheshimu mali za Umma
Otherwise ni waste of time
Kila utakaemsikia kuhusu miaka 4 ya Samia ni mama this mama that, but ukiangalia in reality mambo ni yale yale na umasikini ni ule ule
Pambaneni tu kwa kweli, thanks God niliamisha my Family now wanapata elimu bora, Afya bora etc …..
HUKO sijawahi kuona viongozi wa chini wakisifia viongozi wa juu …. Never seen that 🤣
Usidanganye watu hapa. Kutokana na uandishi wako hapa ni wazi unayo hali ngumu sana hapo ulipo.Pambaneni tu kwa kweli, thanks God niliamisha my Family now wanapata elimu bora, Afya bora etc …..
HUKO sijawahi kuona viongozi wa chini wakisifia viongozi wa juu …. Never seen tha
Yaani mtoto wa mmoja wao hapo kapeleka mtoto kuwa chipukizi wa Chama akiwa na miaka 6, kisa anamuandaa aje kudanganya na kuibaUkimweleza Kitila Mkumbo, au Kafulila, Kabuti Kalamagamba au Mwigulu habari kama hizi ulizoweka hapa atakuona kuwa huna akili nzuri kichwani. Lakini naamini sasa, kuwa kuna siku inakuja hawa walafi watawajibishwa tu.
Your mind is too busy !You're utterly out of order, Mwalimu has nothing to do with the current situation, and you very well know that!
"Zamani ilikuwa ukimpinga mwalimu anakuua." Alimuua nani na nani? This and many other allegations exemplifies the lack of seriousness in your thought process.
"Kama lile jaribio la Mapinduzi lingetiki, I am prety sure tungekuwa na TZ nyingine na wananchi wangekuwa na akili sana"
Kwa hiyo hapa wewe unajiweka kwenye kundi la wenye akili sana, kwa kuwa upo huko ulipo, na sisi wengine wote hatuna akili?Kwa kukosa akili kwako, hata huoni kuwa unajichanganya wewe mwenyewe katika uandishi wa kipande tu haka kafupi ka taarifa uliyo weka hapa katika maneno uliyo tumia katika sentensi hiyo tu moja niliyo nakili hapo juu.
Usidanganye watu hapa. Kutokana na uandishi wako hapa ni wazi unayo hali ngumu sana hapo ulipo.
Ni wazi kabisa huko uliko sasa hakukusaidia kuondoa ujinga ulio ondoka nao hapa, badala yake ni kama umeuongeza ujinga huo.Your mind is too busy !
Kama has nothing to do with Mwalimu….. then endelea kuwa keyboard warriors
U keyboard warrior wako hauna impact yoyote just note that
Naunga mkono hoja yako.Umemaliza mjadala.Binafsi sioni shida wawekezaji kuingia mikataba..yaani sisi ngozi nyeusi ni shida sana ..tukipewa tender ni full kuiba mfano bandarini wakati tunasimamia sisi (akina masamaki) ilikuwa ni full kuihujumu nchi kwa wizi ..Bora wawekezaji maana faida wanaleta