Salamu za asubuhi ni hizi hapa. Mwenye akili na some, machawa piteni tu isiwe shida

Ni wazi kabisa huko uliko sasa hakukusaidia kuondoa ujinga ulio ondoka nao hapa, badala yake ni kama umeuongeza ujinga huo.

Wewe hapa sasa unafanya nini. Unatueleza ya Mwalimu ili iweje?
Tuache sisi tupambane na hawa wanao tuhangaisha sasa hivi, na tunayo hakika mwisho wao umewadia.
Hakuna mwisho, you are blind , dogo

Mwisho hauji kwa kuwa keyboards warrior wake up Dogo and stop fantasy , you are deluding yourself

Hakuna anaekuhangaisha, unajihangaisha mwenyewe…. Because you choose to be keyboard warrior
 
Hakuna mwisho, you are blind , dogo

Mwisho hauji kwa kuwa keyboards warrior wake up Dogo and stop fantasy , you are deluding yourself

Hakuna anaekuhangaisha, unajihangaisha mwenyewe…. Because you choose to be keyboard warrior
Hii "keyboard warrior" ni msamiati mpya kwako?
Mtu kama wewe sina muda wa kupoteza nawe kwa ujinga unao uonyesha humu. Maandishi yako ni 'incoherent, sasa unategemea nijadili nini na wewe; upumbavu?'
 
Sina tena muda wa kuhangaika kujibu maandishi toka kwa maiti kama ulivyo wewe.
Huyo jamaa ni moja ya watu wapumbavu kutokea katika historia ya taifa hili kila sehemu yupo kutetea wizi wa mafisadi..
 
Hi I TISS wapo ?? Wanaona?? Maana siamini kama TISS inaweza kulamba asali 😭😭😭😭

"Nakulilia Tanzania,ulijengwa na wenye moyo, unaliwa na wenye choyo" Two proud katika single " Ni wapi Tunakwenda"
 
Uwekezaji mkubwa unataka pesa nyingi.
Serikali huku nyuma na hadi sasa inawekeza. Angalia TTCL,AIR TANZANIA, TRC ni hasara kwa mabilioni.
Bandari ilikuwa hivyo hivyo ikatushinda.
Mali ya umma utafikiri ni laana.Lakini leo wakiwaleta Waingereza wawili wawili tu kusimamia hiyo miradi utashangaa itakavyoanza kutengeneza faida na huduma bora na nafuu.
We are carefree and careless.
Akili zetu zipimwe kwa uthubutu na contingency plan.
Mfano maji ya Dawasa hayatabiriki lakini watu wenye simtank za hata lita 500 ni wa kuhesabu!
Umeme hivyo hivyo,matajiri wana hata magari ya kifahari 6
Lakini umeme wa Tanesco ukikata anawasha mshumaa kama akina Chakubanga hana solar power kwake.
Si hayo tu utaenda kwenye taasisi nyingi za serikali umeme ukikatika huduma nazo zinasimama utasikia emergency diesel power generator haina mafuta au ni mbovu.
Kwani msiweke solar kama nishati mbadala kwamajengo yote ya umma?
 
Well said
 
Hii Nchi chama tawala kimetengeneza mazingira ya sisi kuishi kwa kutegemea akili za Rais, akiwa mjinga wote tunakuwa mafala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…