Salamu Za Krismasi kutoka kwa Mohammed Salah Na Familia yake

Salamu Za Krismasi kutoka kwa Mohammed Salah Na Familia yake

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
FB_IMG_17351510825065535.jpg
 
Ebwana hii dunia acha tu nimekuta Shekhe wa Msikiti fulani sitotaja jina na sitomtaja jina leo asubuhi alikua anafuatilia ibada ya Christmas inaruka live kwenye kanisa la RC somewhere in Dsm ilikua YouTube, kwa hio sishangai kwa Salah kufanya hivyo ni sehemu ya Ibada ya Nabii Issa Bin Maryam Nabii ambaye wanamuamini zaidi kuliko Mtume Muhammed S.A.W ni Yesu Kristu Mwana wa Mungu hio Mwana wa Mungu isikuchanganye hakuna Mwana wa Shetani anaeishi sisi sote ni wana wa Mungu msianze kusema Mungu hana mtoto wakati yeye ndiye aliyekuumba, km wao wanavyoamini alikuwepo ila tu hawatambui km hio ndio trh sahihi ya kuzaliwa kwake
 
Back
Top Bottom