Salamu Za Krismasi kutoka kwa Mohammed Salah Na Familia yake

Screenshot_20241225-233758.png
20241226_000856.jpg
cheki povu sasa
 
Utakuta hao ni watanzania ndio wametoa povu hilo bila kujua dunia inaongozwa na mfumo wa iluminat ambao wengi waliuingiza kwa kiasi kikubwa kwenye ukatoliki na madhehebu mengi ya wakristo yamekopi vitu vingi kwenye ukatoliki bila kujua kuwa vingine ni ibada za ki Illuminati.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Story kama hizi ukipiga kwenye kijiwe cha draft pale Kurasini unaonekana genius sana.
 
Salah anaishi na Wakristo na watu wa imani tofauti na yake. Anaona upendo wanaompatia na suppport wanayompa hasa kipindi cha Ramadhani.
Anachofanya ni kurudisha upendo anaopatiwa.

Akitokea kwenye jamii Muislamu anayeishi kwa upendo na kila mtu hata ambaye sio wa imani yake akashiriki nao sherehe zao na wao wakashiriki zake basi anaonekana amekengeuka.

Yani Paulo Ngonyani kwenda kwa Salehe Mitomingi kula pilau la sikukuu ya Idd sio tatizo. Ila Salehe kwenda kula Pasaka Kwa Paulo inakuwa nongwa?

Huu sio ubinafsi?

Ndio dini inavyofundisha?

Tujitahidi kumtafuta Mungu kwanza kabla hatujaita dini. Dini ipo kwenye nyumba za ibada ila Mungu anaishi ndani yako. Isikilize sauti toka ndani itakuambia lipi jema lipi baya.

Kama ambavyo ulijua wizi ni mbaya kabla hata hujaambiwa na kiongozi wako wa dini ndivyo inavyopasa ujue Paulo na Salehe ni majina tu mbele ya Mungu.
 
Kila siku anapiga na watoto wawili waislam wa Pemba hawapendi
 
T
Utakuta hao ni watanzania ndio wametoa povu hilo bila kujua dunia inaongozwa na mfumo wa iluminat ambao wengi waliuingiza kwa kiasi kikubwa kwenye ukatoliki na madhehebu mengi ya wakristo yamekopi vitu vingi kwenye ukatoliki bila kujua kuwa vingine ni ibada za ki Illuminati.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tafuteni hela Muache kupost ujinga
 
Hii akiiona sheikh Mwaipopo, ataianzishia mada kumshambulia Mo Salah
 
Back
Top Bottom