mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Tunaongea fact mkuu,maisha ya kukaririshana yamepitwa na wakati au kwa wajanja wanahesabu ni ulimbukeni tu.Una tatizo sana wewe. Nakukumbuka kule kwenye international schools.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaongea fact mkuu,maisha ya kukaririshana yamepitwa na wakati au kwa wajanja wanahesabu ni ulimbukeni tu.Una tatizo sana wewe. Nakukumbuka kule kwenye international schools.
[emoji15][emoji15]PhD ndogo hivo
Unajivunia nn kuwa msomi wakati huna hata chembe ya kitu Cha kukufanya ukumbukwe katika taifa lako
Usijimwambafai kwa usomi ulio nao Bali tumia Elimu yako kufanya kitu ili ukumbukwe Zaid na jamii yako na ndugu zako.
Elimu yako Ni makaratasi tu ambayo Kama huna pesa utaonekana mgonga ulimbo tu Kama hao ambao unaona Elimu zao ndogo hzo master's na PhD zimejaa kibao tu na kichwani bado wako empty tu huku kitaa tunachoangalia akili ya kuzaliwa ile uliofundishwa ingali ulimi mzito hata kutamka maji.
I believe the best way is to contact the University directly and they will assist. Public universities have schemes for teaching staff and research staff but they also have experience working with research associates and the like.Is there still any way to get something official? Who do i have to contact for an official statement? Maybe you have a contact?
Duh kumbe kumbe mshahara wangu nimemzidi phd holder,kama ni hvyo Phd is meaningless.
Kha wandugu inawezekana mtu kutengeneza hela zaidi ya mwenye PhD (kusoma sana), lakini siyo upuuzi au meaningless kwani tunahitaji wasomi kwa kazi maalum (uhadhiri, utafiti). Hawa wanahitaji kuwa na PhD. Hata hivyo a PhD kawaida inakuingiza entery point ya Lecturer na unapanda huku mshahara ukiongezeka. Pia hufungua milango mingi katika maisha ya kazi (kwa sasa JPM yeye anawataka hao mpaka amesahau kuwa PhD is essentially for academic work).Kusoma sana ni upuuzi tu
Tuna malengo tofauti katika maisha, kimsingi sikubaliani na hili wazo lako la uwoga. Sidhani kama wanaenda kula bata huko vyuoni-maisha siyo rahisi (ni mapambano) kwa wengi wakati wakisoma masters na phd.Ndio hvyo aisee watu wanatumia miguvu mingi kusoma hadi uzeeni kwa ajili ya kuja kulipwa mshahara kama huo.
Aisee uoga wa maisha ni kitu kibaya sana
uoga niliousemea hapa ni ile kutojiamini kwamba kuna uwezekano wa kuishi maisha mazuri mtaani bila phd.Tuna malengo tofauti katika maisha, kimsingi sikubaliani na hili wazo lako la uwoga. Sidhani kama wanaenda kula bata huko vyuoni-maisha siyo rahisi (ni mapambano) kwa wengi wakati wakisoma masters na phd.
Duh kumbe kumbe mshahara wangu nimemzidi phd holder,kama ni hvyo Phd is meaningless.
Unakosea sana mkuu, kwanza PhD sio meaningless kwa kuwa wewe unawazidi mshahara. Ile tu kwamba na wewe unalipwa mshahara, inatosha kukufanya usiwacheke sana hao jamaa.
Pili, na wewe kuna watu wanakuzidi mshahara kwa mbali sana hauwezi hata kuwasogelea, ndio maana kujitapa kwa mshahara kwangu sio kitu nakithamini.
Kumbuka kuna vitu zaidi ya mshahara vinaambatana na kaliba ya watu wa aina flani.
Mambo ya tafiti, kupata utaalam na kujiendeleza kwenye maeneo flani n.k.
Unawezakua unalipwa pesa ndefu kuliko huyo mwenye PhD lakini kazi unayoifanya wewe na nguvu unaiwekeza havilingani na hao unaowabeza.
Mwenye genge au biashara yake ndogo anaingiza pesa yake namheshimu sana bila kujali anaingiza kiasi gani.
Binafsi hata hiyo Bachelor sina, licha ya kwamba nalipwa vizuri lakini siwezi kubeza au kutweza umuhimu wa elimu.
Naungana na wewe wengi (sio wote) wa wahitimu wameenda kutafuta hizo PhD au elimu za juu kama kupata uhakika wa ajira badala ya maarifa na elimu. Wanajikuta zaidi ya cheti, hana kitu kinamtofautisha na wengine.
Elimu kama Elimu ina umuhimu na nafasi kubwa sana kuleta maendeleo chanya.
Hizi kutambiana mishahara ikiwa wote mpo kwenye ajira sio afya sana.
angalau uko sahihi.
Nilisema ni meaningless kwa mazingira ya bongo jinsi yalivyo.
Nchi za watu mtu akisema ni phd holder unaona kabisa impact zake,jamii inanufaika na impacts zake,akikwambia ana phd huwezi kubisha maana unaona mwenyewe.
Tofauti na huku kwetu wanasoma tu kwa sababu ya uoga wa maisha ili akipewa kitengo sehemu aibe na kujilimbikizia mali kwa ufisadi.
Mfano mzuri wa phd holders ni kama yule mwakyembe anayetoa matamko ya ajabu ajabu ambayo hata std 7 ana uwezo wa kupinga hoja yake kiurahisi kabisa.
Hebu nitajie hapa Tanzania ni Sekta gani ambayo inaendeshwa kwa uweledi wa juu sana kwa mchango wa phd holders?
Wewe una akili.Ndio maana nataka wewe uwe mfano wa kuigwa. Kaitafute PhD au Masters kwa lengo la kukuoatia uwezo wa kuleta tija kwenye taifa letu au jamii inayokuzunguka. Hawa waliodhalilisha PhD wasikufanye ukaona hazina maana.
Masiya kasema malengo yanatofautiana, mwingine anaitafuta kama kibali au kigezo cha kupata nafasi ya kazi. Mwingine kusoma au mambo ya elimu yapo kwenye damu, anapenda tafiti, mwingine ndio hivyo anataka alete mabadiliko.
Lakini wengi wetu tunahitaji Bachelor tu kuwa na ufanisi kazini.
Una do job ganDuh kumbe kumbe mshahara wangu nimemzidi phd holder,kama ni hvyo Phd is meaningless.
Entery ndio nini?Kha wandugu inawezekana mtu kutengeneza hela zaidi ya mwenye PhD (kusoma sana), lakini siyo upuuzi au meaningless kwani tunahitaji wasomi kwa kazi maalum (uhadhiri, utafiti). Hawa wanahitaji kuwa na PhD. Hata hivyo a PhD kawaida inakuingiza entery point ya Lecturer na unapanda huku mshahara ukiongezeka. Pia hufungua milango mingi katika maisha ya kazi (kwa sasa JPM yeye anawataka hao mpaka amesahau kuwa PhD is essentially for academic work).
Una do job gan
Sorry Mkuu: Entry and not EnteryEntery ndio nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimegonga katika kile unapaswa ambiwa katika kundi la watu wenye kujua mambo wew haupoLayman point of view, ulivyoona jina Agogwe ukajua ni pimbi mwenzako?
Nenda kwa treasury registrar utapata credible documentAsante kwa majibu yako
Is there any official document for that? Maybe a table from the state or university? Since I need to give this to our funding ministry.