Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Hahaha . . . . a point worth to acknowledgeSomeni masters inatosha si mnaona watu wenye akili kama Lissu wameishia Masters tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha . . . . a point worth to acknowledgeSomeni masters inatosha si mnaona watu wenye akili kama Lissu wameishia Masters tu
Kuwa na staha kidogo.Duh kumbe kumbe mshahara wangu nimemzidi phd holder,kama ni hvyo Phd is meaningless.
Contact Udsm. I hope you have their contacts.Is there still any way to get something official? Who do i have to contact for an official statement? Maybe you have a contact?
Kadogo, kukapata sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wanakuja na maneno ya master's,wakat siku hz master's Ni kaelimu kadogo tu
Matured commentUnakosea sana mkuu, kwanza PhD sio meaningless kwa kuwa wewe unawazidi mshahara. Ile tu kwamba na wewe unalipwa mshahara, inatosha kukufanya usiwacheke sana hao jamaa.
Pili, na wewe kuna watu wanakuzidi mshahara kwa mbali sana hauwezi hata kuwasogelea, ndio maana kujitapa kwa mshahara kwangu sio kitu nakithamini.
Kumbuka kuna vitu zaidi ya mshahara vinaambatana na kaliba ya watu wa aina flani.
Mambo ya tafiti, kupata utaalam na kujiendeleza kwenye maeneo flani n.k.
Unawezakua unalipwa pesa ndefu kuliko huyo mwenye PhD lakini kazi unayoifanya wewe na nguvu unaiwekeza havilingani na hao unaowabeza.
Mwenye genge au biashara yake ndogo anaingiza pesa yake namheshimu sana bila kujali anaingiza kiasi gani.
Binafsi hata hiyo Bachelor sina, licha ya kwamba nalipwa vizuri lakini siwezi kubeza au kutweza umuhimu wa elimu.
Naungana na wewe wengi (sio wote) wa wahitimu wameenda kutafuta hizo PhD au elimu za juu kama kupata uhakika wa ajira badala ya maarifa na elimu. Wanajikuta zaidi ya cheti, hana kitu kinamtofautisha na wengine.
Elimu kama Elimu ina umuhimu na nafasi kubwa sana kuleta maendeleo chanya.
Hizi kutambiana mishahara ikiwa wote mpo kwenye ajira sio afya sana.
Ona huyu naye!!😀😀😀Ndio hvyo aisee watu wanatumia miguvu mingi kusoma hadi uzeeni kwa ajili ya kuja kulipwa mshahara kama huo.
Aisee uoga wa maisha ni kitu kibaya sana
Ona huyu naye!!😀😀😀
Hii ndiyo shida ya kuwa na hela (hivyo yeye anajisifia) pasipo kitu kichwani!
Haya tuambie una elimu gani wewe??
Walimu wanaotufundisha mashuleni (shule za msingi na sekondari) unaijua mishahara yao? Je, nao waache kazi wakatafute hela kama wewe?!! Manesi na madaktari je, nao wafanye hivyo?! Kama umefika chuo na sasa unapata hela huko mtaani ni kwa ajili ya hao maProf, ni lazima watu wasome wakafundishe chuo, ama ulitaka ulivyokuwa chuoni ufundishwe na jamaa wenye videgree?
Huo ndiyo mgawanyo wa maisha, wao wamechagua kufundisha vyuoni, ni lazima wasome wafundishe!
Achilia mbali hao wenye mishahara midogo, mm nikiuweka wangu hapa ndiyo utanitukana kabisa!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu mbona umekuja mbio mbio kwa jazba hivyo au na wewe ni mmojawapo uliyetumia miguvu mingi halafu ulivyokuja mtaani kwenye maisha ukakuta mambo ni viceversa.
Ishambulie hoja yangu usinishambulie mimi personally,unaulizia elimu yangu na kazi yangu vitakuongezea mshahara?Pambana na hali yako
DAAH UYU JAMAA,,,BAS AKILIYAKE INAMTOSHA...MWACHENITU AJIELEWI,,,,,ANAVIJI SENT VYA URITHI VINAMSUMBUA TENA VYA MATUMIZI[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu mbona umekuja mbio mbio kwa jazba hivyo au na wewe ni mmojawapo uliyetumia miguvu mingi halafu ulivyokuja mtaani kwenye maisha ukakuta mambo ni viceversa.
Ishambulie hoja yangu usinishambulie mimi personally,unaulizia elimu yangu na kazi yangu vitakuongezea mshahara?Pambana na hali yako
PhD ni meaningless kwa vichwa panzi Kama weweDuh kumbe kumbe mshahara wangu nimemzidi phd holder,kama ni hvyo Phd is meaningless.
WEWE NDIO AKILI YAKO IKO OUTDATED,UMEKARIRI KWAMBA MTU HAWEZI KUPAMBANA AKAPATA PESA HADI APEWE URITHI.DAAH UYU JAMAA,,,BAS AKILIYAKE INAMTOSHA...MWACHENITU AJIELEWI,,,,,ANAVIJI SENT VYA URITHI VINAMSUMBUA TENA VYA MATUMIZI
PhD ni meaningless kwa vichwa panzi Kama wewe
hahahaah acha kupanc bro always Fighter awezi kuwa na low thinking capacity kama yako that's why nimeku categorize kwenye kundi hilo and you deserve ........ unazakutumiatu ww yan ww wakiitwa top 100 wenye ela kwenye kijijichenu aupo, by the way kubali elimu yako ndogo ila kwakua Mungu amtupimja wake babuyako alipambana enzi izo so akakupa kaurithi so japo level yako ya elimu ndogo bado una ishi , na ktk maisha atutakiwi tuwe level moja wote napia ujue ela siokilakitu mfano, kwa sasa corona ipo, wanaoangaika ku develop vaccine ni ao unaowaona useless so unaivo vijisent vyako vyakununulia dagaa, nyanyachungu pilipili na bamia then una corona je, vina kazigani?????? ''think beyond horizon"WEWE NDIO AKILI YAKO IKO OUTDATED,UMEKARIRI KWAMBA MTU HAWEZI KUPAMBANA AKAPATA PESA HADI APEWE URITHI.
KAMA WEWE UNAYEWAZA HIVYO NDIO PHD HOLDER WA KITANZANIA NINA HAKI YA KUSEMA PHD NI MEANINGLESS.
hahahaah acha kupanc bro always Fighter awezi kuwa na low thinking capacity kama yako that's why nimeku categorize kwenye kundi hilo and you deserve ........ unazakutumiatu ww yan ww wakiitwa top 100 wenye ela kwenye kijijichenu aupo, by the way kubali elimu yako ndogo ila kwakua Mungu amtupimja wake babuyako alipambana enzi izo so akakupa kaurithi so japo level yako ya elimu ndogo bado una ishi , na ktk maisha atutakiwi tuwe level moja wote napia ujue ela siokilakitu mfano, kwa sasa corona ipo, wanaoangaika ku develop vaccine ni ao unaowaona useless so unaivo vijisent vyako vyakununulia dagaa, nyanyachungu pilipili na bamia then una corona je, vina kazigani?????? ''think beyond horizon"
AO MADAKTARI, MA ENGINEER WANAFUNDISHWA NA WAKINANANI? JE UKIUMWA UNATIBIWA NJE YA BONGO?? kazi ya PhD Holder ninini? je ugunduzi UNATEGEMEA LEVEL YA ELIMU? bill gate alikua na Phd alivyo fanya innovation? je research za PhD zimelenga kutengeneza vitu2? fikiria ujibu maswali kwa usahihimbona unazunguka sana,tupe evidence ya vitu vilivyotengenezwa Bongo kwa phd zenu.
Usikariri kwamba lengo la phd ni kumfundisha mwingine kwa kumkaririsha makaratasi iwe ndio umuhimu wake kwa sababu mwisho wa siku utazalisha watu wale wale wenye upeo mfupi kama wewe na mzunguko utaendelea hivyo hivyo.
Unasema watu wanaumiza kichwa kuhusu corona nitajie Mtanzania mmoja tu msomi aliyetengeneza ventilation machine hata 5 tu zinazosaidia kupumulia wagonjwa.
Ukiambiwa upeo wako wa kutafakari ni mdogo unaishia kutukana tu.