Salary for lecturers (Masters degree/PhD.) - NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI

Leta evidence ya vitu ulivyofanya kwenye society na wakanufaika navyo,kama huna hivyo vitu na wewe ni kichwa panzi tu tena wa standard gauge.
Una Akili fupi sana, huo mshahara wako ndo unakufanya usiivalue elimu, tangu umeanza kusoma hyo elimu yako ulikua unajifundisha wewe, au ulijiandikia vitabu wewe, hujui Kuna wasomi walikaa na wakaumiza vichwa kuandika vitabu ambavyo umevisoma ukaondoa ujinga kichwani ndo ukaanza kupata hako kamshahara unakotamba nako hapa, Takataka kabsa kichwa panzi
 
Akili fupi Sana
 
Safi sana.
 
Safi sana.
 
Jana nilikuwa nataka kujua mishahara ya vyuo vikuu. Kama Alivyojibu tang'ana niliishasikia kuwa: Tutorial Assistant (Bachelor's Degree) = 1,800,000 Tshs; Assistant Lecturer (Master's degree) = 2,800,000 Tshs, na Lecturer (PhD/Doctoral) = 3,800,000 Tshs. Lakini kulingana na debate kati ya mbu wa dengue na Agogwe nimegundua kuna mambo mawili hayaeleweki:
1. Mishahara ya vyuo vikuu haitegemei elimu ya mtu tu bali uzoefu na kupanda madaraja ya kitaaluma. Mtu akiishafikia Phd Level mshahara wake unaanza kupanda kulingana na tafiti anazofanya - anaanza kuwa lecturer, halafu Seniour Lecturer, halafu Associate Professor halafu Full Professor. Hawa wote wana mishahara tofauti. Professor ni PhD holder ndio maana hujitambulisha kwa elimu yao kwa vile siku za nyuma kulikuwa na maprofesa wasio na PhD. Lakini mshahara wa Professor ni mkubwa (sio chini ya 7m) ukilinganisha na wa lecturer japo wote wana elimu sana. Kwa hiyo mbu wa dengue anakosea kusema "Kumbe PhD si lolote!". Mshahara hautegemei na elimu tu bali uzoefu na ngazi ya taaluma.
2. Kuwa na mshahara mkubwa kuliko wa Lecturer haina maana kwamba yeye si lolote! Hela sio kila kitu! Kwa mfano mwalimu wa International School anaweza kuwa analipwa sawa na lecturer au senior lecturer lakini kuna tofauti mbili kuhusu kubwa kimapato na mchango wa hawa watu wawili katika jamii:
a) Mapato: Mwl wa International School mshahara wake mara nyingi ni inclusive (salary and other allowances ukiondoa health insurance) lakini kwa lectucturer, mbali na mshahara huo anapata hela nyingi ya ziada kama house allowance, travel allowance, examination/assessment allowance, research supervision allowance, na field practice assessment allowance. Hizi zote ni hela nyingi sana. kwa hiyo hata kama mwalimu wa international school anapata let's say 5 m bado income yake ni ndogo kulinganisha na lecturer kwa uhalisia.
b) Mchango kwa jamii: Mwalimu wa International School au mtu mwingine anaweza kudhani kwa vile anapata mshahara mkubwa zaidi ya lecturer basi yeye ni muhimu zaidi kuliko lecturer katika jamii. Ndio maana mbu wa dengue akasema "Kumbe PhD si lolote"! Sio kweli kabisa. Hawa watu wana mchango mkubwa sana kwa ustawi wa nchi. Kwanza wataalam wote wa nchi hii hutokana na vyuo vikuu - engineers, technicians, nurses, doctors of medicines, teachers, scientists, accountants, IT specialists, economists, lawyers, n.k. wote hawa uandaliwa na walimu wa vyuo vikuu - kwa hiyo ukisema "PhD si lolote"! unakuwa hujatumia muda kidogo kutafakari. Pili wasomi hawa wana mchango mwingine zaidi ya kufundisha. wengi wao hutumika kama consultants serikalini au katika mashirika ya binafsi (NGOs) kusaidia kutatua changamoto mbali mbali za kijamii kama vile maradhi, kuondoa umaskini n.k. na wakifanya hivyo sio tu wanapata hela ya ziada bali pia mchango wao unakuwa wa maana sana kwa maendeleo ya jamii. Kwa hiyo si sawa kusema kuwa: PhD si lolote!
 
Duh kumbe kumbe mshahara wangu nimemzidi phd holder,kama ni hvyo Phd is meaningless.

Kauli yako ya kishamba sana hii .
Pia Kuna watu hawana Elimu Kama yako ila wana Kamata pesa ndefu kuliko wewe ndezi wa Kihaya.
 
Kauli yako ya kishamba sana hii .
Pia Kuna watu hawana Elimu Kama yako ila wana Kamata pesa ndefu kuliko wewe ndezi wa Kihaya.
mkuu mbona hiyo kauli imekukamata sana.
Usichukie sana haya ni maisha tu,kama ukiona umesoma sana halafu bado ni kapuku jitafakari,kuwakasirikia watu haitakusaidia.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…