Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Huu uzi una haters wa kushiba

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna maarifa pia ya kujenga. Nadhani ni jinsi wewe mwenyewe unayoamua kulitazama jambo.

Issue muhimu kujiuliza, Je, mind yako inakuwa biased katika jambo flani wakati wa kusoma ama inakuwa free? Ukiwa na free mind hukosi mambo ya kujifunza. Mie tangu nimeanza kufuatilia uzi huu nimejifunza mambo mengi sana yaliyo +ve.
 
Hii Salary slip siyo genuine in any way,
  • Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
  • Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Kwani unafikiri kazikwapua zote"kwa mkupuo!? Hapo kuna top ups kadhaa,,bila shaka kauza na mkopo mwingine!
 
Usiogope mkopo
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga

Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga
Mmeanza usnge sasa
 
Hapana! Ukipiga hesabu (kama unajua hesabu lakini) utakuta jamaa alichukua cash kama 37m maana interest rate ya mikopo ya watumishi ni kama 14% per annum! Kwa hiyo kama ana akili timamu atakuwa anafanya mambo makubwa tu sasa hivi!
Axha ujinga!
 
Watanzania wapumbavu sana, sasa mpo bize kujadili salary slip ya mtu wakati nyie hamkopesheki hata dukani kwa mangi kwasabab hamna kazi au ni kibarua. Mwenzenu ametimiza malengo yake ila nyie mnataka kutuaminisha amefeli... Na hapo baada ya miaka 3 anaweza kukopa tena... Maisha ni kuchagua... Nilichogundua wanao comment negatively ni watu ambao wana stress za maisha, wameStuck hawawez kwenda mbele na umri unakimbia... Guys mtakufa masikini mkiendelea kujadili maisha ya watu.
Mbona una hasira hivyo?
 
Usinisahau mkuu. Tafadhali. Mie hapa JF ni kama chuo kikuu cha maisha. Vile vyuo vya kawaida naona nimeshasoma kwa kiasi chake. Sasa ni muda wa kuendeleza maarifa kutoka REAL LIFE/STREET UNIVERSITY. Elimu hii si rahisi kuipata kwingine ila hapa JF utaipata tena bure. Ndio maana mie huwa nashinda hapa.

Will do Mkuu.
 
Nilichojifunza:
1. Kama ametumia huo mkopo kujengea nyumba, anailipia Kodi ya 451K na baada ya miaka michache nyumba itakuwa yake.
2. Kama amewekeza kwenye biashara yenye faida zaidi ya 451K kwa mwezi, mapato yake hayajaathirika na baada ya miaka michache atakuwa anajilipa nusu ya mshahara wa serikali.
3. Kama amewekeza kwenye starehe mkopo unamtesa.
Yani hapo, unaweza kuta ali"Top up"...Top up ni ya kihuuni balaa asikwambie mtu.
 
Ukiona hela yako ni ya kuunga unga unatakiwa ufanye hivi
Jenga kijumba kidogo cha kukustri nyuma kwenye kiwanja. Mungu akikujalia ukilipwa mafao ndiyo unajenga nyumba ya mbele na wajukuu wanapata vyumba vyao wakija kusalimia.

Wengine wana bahati wakiwa kwenye vibanda vya uwani mble watoto wao wanamalizia. Si watoto wote wana msaada wengine utawalea mpaka unaingia kaburini.
Inaumiza mtu amestaafu na watu hawaelewi bado wana ku treat kama bado kazini na kuomba misaada kwa wingi. Kuna kupe wanaweza kukufuata hata kaburini uwasaidie
 
mie bado sijaelewa iyo chakuwaha ndonn ni chama cha mabachela, wapigatonye au

Screenshot_20220426-170537_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom