Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
elimu ya riba Bado ni ndogo sana Kwa watu..Ile hesabu ya darasani ya simple interest achana nayo bro. Hapa kwenye mabenki kuna charges na tozo kibao. Tena nyingi kama mchanga wa bahari. Nakuhakikishia maana mimi ni mkopaji mzuri wa benki zilizopo Tanzania. Na ninapofika Tawi la benki kukopa huwa namuona afisa mikopo nampiga maswali ananichambulia tozo na gharama za kuupata mkopo.