Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Huu uzi una haters wa kushiba

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna maarifa pia ya kujenga. Nadhani ni jinsi wewe mwenyewe unayoamua kulitazama jambo.

Issue muhimu kujiuliza, Je, mind yako inakuwa biased katika jambo flani wakati wa kusoma ama inakuwa free? Ukiwa na free mind hukosi mambo ya kujifunza. Mie tangu nimeanza kufuatilia uzi huu nimejifunza mambo mengi sana yaliyo +ve.
 
Hii Salary slip siyo genuine in any way,
  • Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
  • Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Kwani unafikiri kazikwapua zote"kwa mkupuo!? Hapo kuna top ups kadhaa,,bila shaka kauza na mkopo mwingine!
 
Mmeanza usnge sasa
 
Hapana! Ukipiga hesabu (kama unajua hesabu lakini) utakuta jamaa alichukua cash kama 37m maana interest rate ya mikopo ya watumishi ni kama 14% per annum! Kwa hiyo kama ana akili timamu atakuwa anafanya mambo makubwa tu sasa hivi!
Axha ujinga!
 
Mbona una hasira hivyo?
 

Will do Mkuu.
 
Yani hapo, unaweza kuta ali"Top up"...Top up ni ya kihuuni balaa asikwambie mtu.
 
Inaumiza mtu amestaafu na watu hawaelewi bado wana ku treat kama bado kazini na kuomba misaada kwa wingi. Kuna kupe wanaweza kukufuata hata kaburini uwasaidie
 
Inaumiza mtu amestaafu na watu hawaelewi bado wana ku treat kama bado kazini na kuomba misaada kwa wingi. Kuna kupe wanaweza kukufuata hata kaburini uwasaidie
Afadhali wajue huna hela waanze kukusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…