Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

elimu ya riba Bado ni ndogo sana Kwa watu..
 
Hii Salary slip siyo genuine in any way,
  • Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
  • Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Ndugu mkopo ulikwenye mkataba siyo 42m.. ila hyo ni pesa pmoja na riba. Piga hesabu mtu anakatwa Miaka 8 na makato Ndo hyo... Hakuna shida hpo. Makato Yako bomba. Na makato unaangalia Kwa mwezi na nini ubabaki nacho.
 
Ulishajijenga mwanzo, kabla ya hiyo 40m inefanya kuboresha
 
Itakutesa kama hutaitendea haki. Huo mkopo wa nmb kama kanunua apartment tayari mwenzio anamiliki nyumba. Wewe unae ogopa mikopo utaweka kwenye kibubu na kila mwezi unakivunja.
Asante kwa matumizi yako ya neno KAMA... Je kama hajanunua hizo apartment..???

Ambu tujikite kwenye kilichoandikwa kwenye slip na ambacho mleta mada amekileta..!! Na mleta mada ametaka kila mtu aseme alichojifunza.. Sasa wewe badala ya kusema ulichojifunza, UNAANZA KUKOSOA NILICHOJIFUNZA MIMI KWA KUTUMIA DATA ZA NJE YA SLIP..!! AJABU....

Tupunguze matumizi ya maneno KAMA, LABDA, PENGINE, UTAJUWAJE.. etc..!! wewe sema ulichojifunza
 
Miaka 7 kwa degree holder
 
Ndo maana watumishi kunyimwa nyongeza na kupanda madaraja kwa zaidi ya miaka saba kumewaweka katika wakati mgumu sana, sema watu hawajui tu.......mtu kama huyu anakuwa anatarajia kupanda daraja na nyongeza kupunguza makali ya mkopo lakini ndo inakuwa hivyo tena.
 
..Kama mkopo amefanyia uwekezaji basi anaishi vizuri

Ila kama ametumia mkopo kuwekeza ktk madeni ni mateso kwake
 
Konda na dereva wa dala dala ..... 20-30k kwa sikuuu, net take home 900k
 
Ndugu mkopo ulikwenye mkataba siyo 42m.. ila hyo ni pesa pmoja na riba. Piga hesabu mtu anakatwa Miaka 8 na makato Ndo hyo... Hakuna shida hpo. Makato Yako bomba. Na makato unaangalia Kwa mwezi na nini ubabaki nacho.
Kwa akili yako kwa miaka minane anaweza kupata mkopo ambao total principle plus interest ya 42M for 8yrs given the rate of interest is 18 percent?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…