Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Hiki ndio kichwa sasa,kwanza hakiogopi kitu na nadhani ukikutana nacho ni kichwa kinachojiamini sana
 
Hiki ndio kichwa sasa,kwanza hakiogopi kitu na nadhani ukikutana nacho ni kichwa kinachojiamini sana
Calculation za maana sana zimefanyika mpaka mwamba kuchukua mkopo huo maana anajua atatumikia makato miaka mingi sana
 
Calculation za maana sana zimefanyika mpaka mwamba kuchukua mkopo huo maana anajua atatumikia makato miaka mingi sana
Sana aisee yaani mwamba kacheza kama Pele,
Na huo mkwanja aliochukua anaweza akawa anazalisha faida nzuri tu
 
Sana aisee yaani mwamba kacheza kama Pele,
Na huo mkwanja aliochukua anaweza akawa anazalisha faida nzuri tu
Mfano kama yeye ni mtaalam wa madini, ameona fursa labda huko kaona milioni 20 inatosha kumpa faida ya milioni 3 kwa wiki. Why asijilipue na mkopo huo
 
Mfano kama yeye ni mtaalam wa madini, ameona fursa labda huko kaona milioni 20 inatosha kumpa faida ya milioni 3 kwa wiki. Why asijilipue na mkopo huo
Hiyo ndio akili sasa,unaona fulsa unaichangamkia kwa kutumia mbinu zozote zile
 
Kwamba??? Binafsi unawezaje kukopaa
Unakopa, muhimu uwe na Mkataba wa Kazi na barua ya utambulisho kutoka kwa muajiri.

Taasisi nyingi binafsi zinaruhusu watu wake kukopa kutoka bank wanazochukulia mishahara.
 
Dah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Utumwa upo serikalini tu mkuu kama ni private ukihama ofisi moja kwenda ingine possibility ya kuu double salary ni kubwa sana
 
Kimsingi kama kawaida ya JF, mtoa Post alileta hoi post kwa lengo la kuponda utumishi wa umma ila majibu ya wadau mazuri na yanamvunja moyo. Yeye alitaka tuishambulie hiyo 300k anayoipata.
Mimi nina chini ya 500K kwa mwezi kama mshahara wangu toka TGS G sikuwa na loan board na nilikopa zaidi ya 40M ambayo inanisaidia kwenye mzunguko wa zaidi ya 1.2M kwa mwezi toka kwenye Kilimo, ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, duka la Pembejeo na bodaboda za mkataba. Kumbuka nilishajenga na nipo kwangu hapo.
Sasa mkuu TGS G si anapata mshahara mkubwa zaidi ya mwenye TGS E ama? Hivi ndo wewe ililetaga thread fulani hivi ulikua unapata mshahara mdogo sana ila baadae ulipambana mambo yakawa vizuri sana?
 
Hata kama alinunua viwanja viwili kwa milioni 10 kila kimoja. Anaweza kuwa na wapangaji wa kumpa laki tatu kila mwezi na nyingine anakaa japo ni kibanda cha kujistir.
Viwanja viwil kwa 10M @1 =20M, inamaana atajenga nyumba ya kupanga kwa 30M?.
 
Mkuu, hongera sana kwa mafanikio. Tushirikishane fursa tafadhali.

1. Fursa zipi hizo zinakuingizia turn over ya 7-15 on monthly basis?
2. Ulianza lini na kwa mtaji upi?
3. Nini siri ya mafanikio hayo ingali bado umeajiriwa?

Itapendeza uki-share experience kama hautojali Mkuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa unyenyekevu mkubwa.
Usiogope mkopo
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga

Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga
Gheto kwny plot yako tuseme limegharimu 15M kwa hadhi yako, kwa hyo 23M+ iliobaki biashara gani inaweza kukupa 7M mpk 15M kwa mwez kama ulivyosema?.
 
View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Kama kweli, kuna shida kwenye taasisi za kifedha, taratibu zinasema mtumishi hasikopeshwe zaidi ya 40% ya basic salary yake. Nachojifunza hapo ni pale unapoajiriwa tu anza kujiwekea akiba angalau 10% ya basic yako kila mwezi itakusaidia. kwa take home hiyo hawezi kulipa ada za watoto kama wako private na kama mzazi mwenzake hafanyi kazi inayoeleweka maisha kwao ni magumu sana hata kama mkopo huo wamejengea.
 
ona ya mtumishi wa secta binafsi afu uniambie maisha yake yakoje huyo kijana
20220502_132443.jpg


Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Nilijifunza mkewe atakua mtumishi na anasomesha watoto lapili Kama mkopo huo kabwia vodca Basi kununua nguo mpya asahau
 
View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Kumbe unakopeshaka vzr HV milioni 42 kakopa bas ushindwe mwenyew kupambnan
 
Back
Top Bottom