Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Psssf wanakata % ngapi ya basic salary?
Screenshot_20220512-140754.png
 
Dah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Udalali nao una changamoto zake, hana guarantee ya kupata kila siku au kila mwezi pesa hizo
 
Hii s
View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Hii salary slip ya mchongo. Kwa mshahara wake hawezi kupata huo mkopo
 
Nimeangalia hyo slip mara mbili mbili, nimeona nianzishe tena biashara yangu ya uwakala, ilikuwa inanipa 400k kwa mwezi...nikaona ndogo, sasa kumbe kuna watu wanapata 300k kwa mwezi na ni wafanyakazi...narudisha biashara yangu
Pambana
 
Huyu ni mwalimu wa tanzania kabisa na CHAKUHAWATA yake .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkopo milion arobaini unarejesha miaka mongapi? Mshahara mbona mdogo sana
 
Akiachana na Kazi atafanya biashara kwa ufanisi zaidi.

Hiyo kuendelea kuajiriwa huku umejiajiri bado huna uhuru wa Kusimamia biashara, kimwili na kiakili.

Maybe kama ameamua awe moderate!!
Wewe turnover yako kwa mwaka Ni kiasi gani?

Screenshot_2022-05-15-18-07-10-346_com.twitter.android.png
 
Mikopo ilishawahi kunitesa sana...ila ilikua ujana na sikua na majukumu. Asikwambie mtu kukopa pesa na yote ukafanyia cha maana ni bahati. Hata nusu ya mkopo ukifanyia cha maana unabahati maana hata hicho cha maana ulichofanyia ni mara chache kikulipe. So wengi wanakopa ku-catch up na maisha na ku-upgrade kidogo
 
Back
Top Bottom