Hiki ndio kichwa sasa,kwanza hakiogopi kitu na nadhani ukikutana nacho ni kichwa kinachojiamini sanaView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Calculation za maana sana zimefanyika mpaka mwamba kuchukua mkopo huo maana anajua atatumikia makato miaka mingi sanaHiki ndio kichwa sasa,kwanza hakiogopi kitu na nadhani ukikutana nacho ni kichwa kinachojiamini sana
Sana aisee yaani mwamba kacheza kama Pele,Calculation za maana sana zimefanyika mpaka mwamba kuchukua mkopo huo maana anajua atatumikia makato miaka mingi sana
Mfano kama yeye ni mtaalam wa madini, ameona fursa labda huko kaona milioni 20 inatosha kumpa faida ya milioni 3 kwa wiki. Why asijilipue na mkopo huoSana aisee yaani mwamba kacheza kama Pele,
Na huo mkwanja aliochukua anaweza akawa anazalisha faida nzuri tu
Hiyo ndio akili sasa,unaona fulsa unaichangamkia kwa kutumia mbinu zozote zileMfano kama yeye ni mtaalam wa madini, ameona fursa labda huko kaona milioni 20 inatosha kumpa faida ya milioni 3 kwa wiki. Why asijilipue na mkopo huo
Unakopa, muhimu uwe na Mkataba wa Kazi na barua ya utambulisho kutoka kwa muajiri.Kwamba??? Binafsi unawezaje kukopaa
hapo nakopa tena kwingine nakimbia nchi lolView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Utumwa upo serikalini tu mkuu kama ni private ukihama ofisi moja kwenda ingine possibility ya kuu double salary ni kubwa sanaDah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Sasa mkuu TGS G si anapata mshahara mkubwa zaidi ya mwenye TGS E ama? Hivi ndo wewe ililetaga thread fulani hivi ulikua unapata mshahara mdogo sana ila baadae ulipambana mambo yakawa vizuri sana?Kimsingi kama kawaida ya JF, mtoa Post alileta hoi post kwa lengo la kuponda utumishi wa umma ila majibu ya wadau mazuri na yanamvunja moyo. Yeye alitaka tuishambulie hiyo 300k anayoipata.
Mimi nina chini ya 500K kwa mwezi kama mshahara wangu toka TGS G sikuwa na loan board na nilikopa zaidi ya 40M ambayo inanisaidia kwenye mzunguko wa zaidi ya 1.2M kwa mwezi toka kwenye Kilimo, ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, duka la Pembejeo na bodaboda za mkataba. Kumbuka nilishajenga na nipo kwangu hapo.
Vipi kama huyo jamaa ana tuition center yale mambo ya QT, Ressiters na Private Candidates? Au hata Day Care?Kitu cha maana kama kipi Mkuu? Unaweza kukitaja tukakiona na kubadilishana mawazo hapa?
Hapo ⅓ imezingatiwa, kiasi kinachobaki ukizidisha mara 3 inazid gross salaryKwa 940,000/= unawezaje kupata mkopo wa 42,800,000/=? na ile ⅓ ya nachotakiwa kibaki kwenye mshahara wako kimezingatiwa hapa?..
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Viwanja viwil kwa 10M @1 =20M, inamaana atajenga nyumba ya kupanga kwa 30M?.Hata kama alinunua viwanja viwili kwa milioni 10 kila kimoja. Anaweza kuwa na wapangaji wa kumpa laki tatu kila mwezi na nyingine anakaa japo ni kibanda cha kujistir.
Mkuu, hongera sana kwa mafanikio. Tushirikishane fursa tafadhali.
1. Fursa zipi hizo zinakuingizia turn over ya 7-15 on monthly basis?
2. Ulianza lini na kwa mtaji upi?
3. Nini siri ya mafanikio hayo ingali bado umeajiriwa?
Itapendeza uki-share experience kama hautojali Mkuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa unyenyekevu mkubwa.
Gheto kwny plot yako tuseme limegharimu 15M kwa hadhi yako, kwa hyo 23M+ iliobaki biashara gani inaweza kukupa 7M mpk 15M kwa mwez kama ulivyosema?.Usiogope mkopo
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga
Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga
Kama kweli, kuna shida kwenye taasisi za kifedha, taratibu zinasema mtumishi hasikopeshwe zaidi ya 40% ya basic salary yake. Nachojifunza hapo ni pale unapoajiriwa tu anza kujiwekea akiba angalau 10% ya basic yako kila mwezi itakusaidia. kwa take home hiyo hawezi kulipa ada za watoto kama wako private na kama mzazi mwenzake hafanyi kazi inayoeleweka maisha kwao ni magumu sana hata kama mkopo huo wamejengea.View attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Oyaaa! Utasababisha niendelee kukopaThen u'll die poor!!
Ninachojua mie ni kuwa mtu hakatwi kodi (PAYE) kama unalipwa basic salary chini ya 270K.ona ya mtumishi wa secta binafsi afu uniambie maisha yake yakoje huyo kijanaView attachment 2209250
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
ndio ilivyo lkn hao jamaa wanakata hawajaliNinachojua mie ni kuwa mtu hakatwi kodi (PAYE) kama unalipwa basic salary chini ya 270K.
Kumbe unakopeshaka vzr HV milioni 42 kakopa bas ushindwe mwenyew kupambnanView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs