Ficha hata jina hapo pleaseona ya mtumishi wa secta binafsi afu uniambie maisha yake yakoje huyo kijanaView attachment 2209250
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hio 115,000 ndio matumizi ya nyumbani, watoto wasome, mwanamke apendeze, mwanaume anywe bia kidogo n.k😳😳ona ya mtumishi wa secta binafsi afu uniambie maisha yake yakoje huyo kijanaView attachment 2209250
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Punguza kilevi kichwani mkuu uandike vitu vya kuelewekaKumbe unakopeshaka vzr HV milioni 42 kakopa bas ushindwe mwenyew kupambnan
Psssf wanakata % ngapi ya basic salary?
unahitaji uchawi sana ili ukulipe
Udalali nao una changamoto zake, hana guarantee ya kupata kila siku au kila mwezi pesa hizoDah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
UTT ndio wapi?Daah Mil 42.
-Chukua Mil 25 peleka UTT utapata zaidi au sawa na ayo makato ya kila mwezi 415k
Hii salary slip ya mchongo. Kwa mshahara wake hawezi kupata huo mkopoView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
PambanaNimeangalia hyo slip mara mbili mbili, nimeona nianzishe tena biashara yangu ya uwakala, ilikuwa inanipa 400k kwa mwezi...nikaona ndogo, sasa kumbe kuna watu wanapata 300k kwa mwezi na ni wafanyakazi...narudisha biashara yangu
Mifuko ya uwekezaji wa pamojaUTT ndio wapi?
Wewe turnover yako kwa mwaka Ni kiasi gani?Akiachana na Kazi atafanya biashara kwa ufanisi zaidi.
Hiyo kuendelea kuajiriwa huku umejiajiri bado huna uhuru wa Kusimamia biashara, kimwili na kiakili.
Maybe kama ameamua awe moderate!!
Ila wana noti kweli kweli!Udalali nao una changamoto zake, hana guarantee ya kupata kila siku au kila mwezi pesa hizo
Kwa Mshahara wa 940000 mbona Amekopeshwa Fedha nyingi sana? Nadhani atakatwa Miaka mingiRekebisha net uliyoiandika wewe..
Nilichojifunza
Mikopo inatesa