Kwa hali hii bora tu kuwa dalali! Maana hakuna namna.Dah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Watanzania wapumbavu sana, sasa mpo bize kujadili salary slip ya mtu wakati nyie hamkopesheki hata dukani kwa mangi kwasabab hamna kazi au ni kibarua. Mwenzenu ametimiza malengo yake ila nyie mnataka kutuaminisha amefeli... Na hapo baada ya miaka 3 anaweza kukopa tena... Maisha ni kuchagua... Nilichogundua wanao comment negatively ni watu ambao wana stress za maisha, wameStuck hawawez kwenda mbele na umri unakimbia... Guys mtakufa masikini mkiendelea kujadili maisha ya watu.
Kakopa zaidi ya uwezo wakeView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Ni similar na chakuajaliCHAKUWAHATA ndio nini?
mtoa mada kakurupuka watu wan mahesabu yao mpaka kachukua mkopo hongera sanKimsingi kama kawaida ya JF, mtoa Post alileta hoi post kwa lengo la kuponda utumishi wa umma ila majibu ya wadau mazuri na yanamvunja moyo. Yeye alitaka tuishambulie hiyo 300k anayoipata.
Mimi nina chini ya 500K kwa mwezi kama mshahara wangu toka TGS G sikuwa na loan board na nilikopa zaidi ya 40M ambayo inanisaidia kwenye mzunguko wa zaidi ya 1.2M kwa mwezi toka kwenye Kilimo, ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, duka la Pembejeo na bodaboda za mkataba. Kumbuka nilishajenga na nipo kwangu hapo.
Serikali si inaweka 15% Mtumishi anachangia 5%Nilichojifunza ni kuona mfuko wa PSSSF hauna hela, tutateseka sana kupata hela zetu, sio kwa contribution hiyo[emoji3064]
Huyo ni mbadala wa cwt.CHAKUWAHATA ndio nini?
Ana Akili kuliko Ww. Unayedhani Madeni ni Dhambi wakati kuna Watu Salary Slip yao wanapata 50000View attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Haya mambo yanahitaji elimu. Wengi wanaingia kichwa kichwa mwisho wanajikuta wapo kwenye mizigo mikubwa inayochukua muda mpaka kuondokana nayoKama nimeelewa vizuri, hiyo mil.42 inahusisha principal na interest. Kwa hiyo inawezekana alikopa mil.25. Halafu inawezekana anakatwa kwa mfumo wa straight balance, ambao unaumiza zaidi. Tunapokopa tuulizie na mfumo wa marejesho. Mfumo rafiki wa marejesho ni reducing balance.
Wewe unaangalia take home, huangalii huo mkopo?Dah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Alikopa pesa nzuri lakiniView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Akili ya ndezi hii!Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Top up hiyo Mkuu.Kwakweli najaribu kutafakari ni kipi kimetokea. Maana hata kama kachukuwa mkopo mwezi huu, jumla ya deni ilitakiwa isome kama 37M hivi Kwa mkopo wa 7 years.
Hilo deni linawezekana tu endapo NMB wana mikopo ya kufikia miaka 8. Yaani kama amekopa kwa muda wa miezi 96 (miaka 8) hilo deni liko sawa.
Hii Salary slip siyo genuine in any way,Kwa 940,000/= unawezaje kupata mkopo wa 42,800,000/=? na ile ⅓ ya nachotakiwa kibaki kwenye mshahara wako kimezingatiwa hapa?..
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app