Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Hii Salary slip siyo genuine in any way,
  • Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
  • Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Kwani Mkuu 1/3 ya Tzs 940,000 ni ngapi kwa mujibu wa mfumo unaousema.....!
 
Kakopa zaidi ya uwezo wake

NMB sijui waliruhusuje huu mkopo
Sheria inataka mfanyakazi abakiwe na angalau 1/3 ya mshahara wake. Sasa jamaa si ndiyo anabaki nayo! Benki wako sahihi kabisa na siku hizi walishaongeza muda wa kurejesha. Kipindi mimi natoka huko ilikuwa miezi 72 sasa huyu mwamba ni miezi kama 96!
 
Hii Salary slip siyo genuine in any way,
  • Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
  • Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Mnapigaje mahesabu nyie jamani? Huo mshahara ni sawa kabisa kwa hayo makato! 1/3 mbona ni zaidi ya 300k?
 
Kwa tafsiri nyingine ni kuwa, deni la bodi alikuwa amelipunguza kwa muda kidogo, kisha akawa ameliuza kwa NMB. Hao NMB wakampa mkopo mwingine ndio huo anapambana nao.
Halafu unafikiri mifumo ya ku-capture instalment ingekubali kama 1/3 ya basic pay as take home hamna? Kwa hayo marejesho ya 451,000 plus kwa hiyo basic ni practical impossible.
 
Nilichojifunza:
1. Kama ametumia huo mkopo kujengea nyumba, anailipia Kodi ya 451K na baada ya miaka michache nyumba itakuwa yake.
2. Kama amewekeza kwenye biashara yenye faida zaidi ya 451K kwa mwezi, mapato yake hayajaathirika na baada ya miaka michache atakuwa anajilipa nusu ya mshahara wa serikali.
3. Kama amewekeza kwenye starehe mkopo unamtesa.
Hizi akili ndo tunapenda kuzikuta jf sio wanaocomment matusi na kejeli
 
Mikopo ni hatar yaan hata Uzi wa kimasihara kila kitu kwako unakuwa ubaona ni chai tu
 
313,333.33- Hata ikizidi one cent lazima mfumo uta-reject, manake 1/3 rule ipo kikanuni, Ukirudi kwenye Basic pay yake- Ili aweze ku-qualify principle plus interest ya 42M plus ni lazima ata violate
Hayo makato yanajumuisha pia interest ya mkopo!
 
Ukiona hela yako ni ya kuunga unga unatakiwa ufanye hivi
Jenga kijumba kidogo cha kukustri nyuma kwenye kiwanja. Mungu akikujalia ukilipwa mafao ndiyo unajenga nyumba ya mbele na wajukuu wanapata vyumba vyao wakija kusalimia.

Wengine wana bahati wakiwa kwenye vibanda vya uwani mble watoto wao wanamalizia. Si watoto wote wana msaada wengine utawalea mpaka unaingia kaburini.
Hi yo paragraph ya mwisho ni balaa
 
313,333.33- Hata ikizidi one cent lazima mfumo uta-reject, manake 1/3 rule ipo kikanuni, Ukirudi kwenye Basic pay yake- Ili aweze ku-qualify principle plus interest ya 42M plus ni lazima ata violate hiyo rule.
Take home yake ni 314,000 so sijaona sehemu 1/3 imevukwa...!
 
Mimi huyu mwamba nampongeza sana kama alikopa halafu akaenda kufanya mambo ya msingi. Lakini kama alichukua hela kakimbilia kununua Harrier ya kutishia babes atajuta kuzaliwa. Mikopo ya watumishi ni ukombozi kabisa kama una malengo.
 
Dah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Mkuu acha kukariri B.O.T,NSSF,PSSF mshahara hamna anayeanza na mshahara angalau wa 2M.tena bandari ni 1.5M hapo mwenyewe unafuu ni EWURA ambaye degree holder anaanza na 3.5

Na hata kwenye siasa labda use Mbunge au Waziri-vyeo vingine vyote hakuna chochote utafaidika pia jua fika huko kwenye uwaziri na Ubunge risk zake nazo ni kubwa tena sana-na ukitaka kujua jaribu uone.
 
Take home yake ni 314,000 so sijaona sehemu 1/3 imevukwa...!
Ndo maana nikasema, ukipiga mahesabu ya haraka haraka, Mtu mwenye basic ya 940'000 hawezi ku-qualify 42'M kama wengine wanavyosema. Riba ya NMB nadhani ni 17percent, Maximum repayment period yao ni 8 years kama sijakosea. Hivyo uki-subject haya yote kwenye calculator lazima u-violate hiyo 1/3 rule.
 
Back
Top Bottom