Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mkuu 1/3 ya Tzs 940,000 ni ngapi kwa mujibu wa mfumo unaousema.....!Hii Salary slip siyo genuine in any way,
- Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
- Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Sheria inataka mfanyakazi abakiwe na angalau 1/3 ya mshahara wake. Sasa jamaa si ndiyo anabaki nayo! Benki wako sahihi kabisa na siku hizi walishaongeza muda wa kurejesha. Kipindi mimi natoka huko ilikuwa miezi 72 sasa huyu mwamba ni miezi kama 96!Kakopa zaidi ya uwezo wake
NMB sijui waliruhusuje huu mkopo
Mnapigaje mahesabu nyie jamani? Huo mshahara ni sawa kabisa kwa hayo makato! 1/3 mbona ni zaidi ya 300k?Hii Salary slip siyo genuine in any way,
- Huyo mtumishi hawezi ku-qualify hiyo pesa
- Mfumo wenyewe ungekataa automatically ku-capture hayo marejesho sababu una violate rule ya 1/3 ya basic pay as take home
Halafu unafikiri mifumo ya ku-capture instalment ingekubali kama 1/3 ya basic pay as take home hamna? Kwa hayo marejesho ya 451,000 plus kwa hiyo basic ni practical impossible.Kwa tafsiri nyingine ni kuwa, deni la bodi alikuwa amelipunguza kwa muda kidogo, kisha akawa ameliuza kwa NMB. Hao NMB wakampa mkopo mwingine ndio huo anapambana nao.
Swali zuri kabisa hili maana naona kuna wananchi hapa wanaropoka utafikri hawajui hesabu!Kwani Mkuu 1/3 ya Tzs 940,000 ni ngapi kwa mujibu wa mfumo unaousema.....!
Hata kama angechukua 20M kwa riba ya NMB ambayo tuki-assume ni 17 percent bado hawezi pata 42'M plus- Just a simple mathematics.Katika huo mkopo, uhalisia atakuwa amechukua milioni 20
Hizi akili ndo tunapenda kuzikuta jf sio wanaocomment matusi na kejeliNilichojifunza:
1. Kama ametumia huo mkopo kujengea nyumba, anailipia Kodi ya 451K na baada ya miaka michache nyumba itakuwa yake.
2. Kama amewekeza kwenye biashara yenye faida zaidi ya 451K kwa mwezi, mapato yake hayajaathirika na baada ya miaka michache atakuwa anajilipa nusu ya mshahara wa serikali.
3. Kama amewekeza kwenye starehe mkopo unamtesa.
Hayo makato yanajumuisha pia interest ya mkopo!313,333.33- Hata ikizidi one cent lazima mfumo uta-reject, manake 1/3 rule ipo kikanuni, Ukirudi kwenye Basic pay yake- Ili aweze ku-qualify principle plus interest ya 42M plus ni lazima ata violate
Hi yo paragraph ya mwisho ni balaaUkiona hela yako ni ya kuunga unga unatakiwa ufanye hivi
Jenga kijumba kidogo cha kukustri nyuma kwenye kiwanja. Mungu akikujalia ukilipwa mafao ndiyo unajenga nyumba ya mbele na wajukuu wanapata vyumba vyao wakija kusalimia.
Wengine wana bahati wakiwa kwenye vibanda vya uwani mble watoto wao wanamalizia. Si watoto wote wana msaada wengine utawalea mpaka unaingia kaburini.
Na huwezi kuwa tajiri kamwe.Sitakaa nije kukopa
Take home yake ni 314,000 so sijaona sehemu 1/3 imevukwa...!313,333.33- Hata ikizidi one cent lazima mfumo uta-reject, manake 1/3 rule ipo kikanuni, Ukirudi kwenye Basic pay yake- Ili aweze ku-qualify principle plus interest ya 42M plus ni lazima ata violate hiyo rule.
Mkuu acha kukariri B.O.T,NSSF,PSSF mshahara hamna anayeanza na mshahara angalau wa 2M.tena bandari ni 1.5M hapo mwenyewe unafuu ni EWURA ambaye degree holder anaanza na 3.5Dah, kwa kada zetu hizi tofauti na Ewura, BOT, NSSF,PSSSF,BANDARINI,SIASA tena ukiwa super senior emploee/worker kuajiriwa ni utumwa na kujitafutia stress na kifo.
Take home 314k wakati dalali hiyo anapata kwa nusu saa tena kwa kumtembeza mnunuzi au kutangaza biashara ya bosi
Ndo maana nikasema, ukipiga mahesabu ya haraka haraka, Mtu mwenye basic ya 940'000 hawezi ku-qualify 42'M kama wengine wanavyosema. Riba ya NMB nadhani ni 17percent, Maximum repayment period yao ni 8 years kama sijakosea. Hivyo uki-subject haya yote kwenye calculator lazima u-violate hiyo 1/3 rule.Take home yake ni 314,000 so sijaona sehemu 1/3 imevukwa...!
Duuuh,kama ni hivyo hawa jamaa wanakata riba kubwa sana aisee.mzee hiyo 42m ni deni analotakiwa kulipa baada ya kupewa mkopo wake. kwa hiyo net loan aliyopewa inaweeza kua 20-25 m.