BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hapo tax imeshaondolewa kaka, kuna makato ya "TRA" ya huko na ile ya wanayotozwa wachezaj wa kigeni.So mkuu katika hiyo amount all taxes are exclusive?
Haha unaeza kuta hivo mkuu, maisha ya kule na huku bongo tofautiVipi na maisha anayoishi...kwa ufahamu wangu mshahara unalipwa kulingana na gharama za maisha....unaweza kuta anatumia kwa mwezi milioni 40
Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana samata,hapo alipo kwa mwezi anapokea kiasi cha Tsh.45,000,000/= kwa exchange rate ya siku ya leo ya euro mana they are paid in euro's. Its lot of money if you ask me for a tanzanian player like him playing abroad.
Anyway hio ni kwa samatta. Sijamskia kabisa braza hasheem thabit mana ndo alikua anaongoza kwa tanzania sports players ambao wanalipwa pesa ndefu. Embu tujuzwe alipo.huyu bwana mdogo.
Wameandika kwa mwezi mkuuKwa wiki? kwa mwezi?
Yap yap na life ya kule majuu ni tofauti sana na huku kwetu.Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Umbuke analipwa kwa kiwango cha uchezaji alichokuwa nacho wakati anasajiliwa na si kwa magoli anayofungwa baada ya kusajiliwakwa magoli anayofunga na mahala alipo ni ndogo sana
Unaingiza sh ngap mkuu kwa mwaka?(no hard feelings)Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???