Salary ya Mbwana Samatta

Salary ya Mbwana Samatta

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana samata,hapo alipo kwa mwezi anapokea kiasi cha Tsh.45,000,000/= kwa exchange rate ya siku ya leo ya euro mana they are paid in euro's. Its lot of money if you ask me for a tanzanian player like him playing abroad.
Anyway hio ni kwa samatta. Sijamskia kabisa braza hasheem thabit mana ndo alikua anaongoza kwa tanzania sports players ambao wanalipwa pesa ndefu. Embu tujuzwe alipo.huyu bwana mdogo.
 
Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
 
Nimejaribu kuchek ya hasheem thabeet, it was his last contract in 2014, average salary per year ni 2.3 billion Tsh. Dah sasa najiuliza ama wadau mnisaidie sjaona investment yoyote aliyofanya hizo hela zote, na nimesoma pia amepelekwa ligi daraja D ambapo naona kama yuko ktk.majaribio na timu moja hivi
 
Back
Top Bottom