Salary ya Mbwana Samatta

Unajua kodi anayokatwa katika huo mshahara? Utilities na mambo mengine kama siyo mwangalifu mwisho wa mwezi hana kitu
 
Equivalent ya $20k, Ni ndogo kwa maisha ya mchezaji wa ligi kuu ulaya, but ,.congrats to him...
Samatta Ana bidii Sana uki compare Na Hawa wa matopeni hapo Kariakoo,,,,
maisha gani sijui kama wachezaji wana bata sana kusema iishe yote
 
Angekuwa Ruby angeikataa hata kama ameshasaini mkataba.

SWALI:Huko TP Mazembe alikuwa ana-make kiasi gani?

Yawezekana Hasheem bado anampiku Samatta hata hilo daraja alilopo hivi sasa.
 
Hiyo hela ndogo sana kwa ule mpira mkubwa anaopiga pale. Hiyo hela hata azam wanaweza kumpa hapa bongo
 
Duh! Kwa viwango vya ligi kuu za majuu naona wanamlipa pesa ndogo sana. Hiyo si ni sawa na Euro 18,000 kwa mwezi? Nadhani wanatakiwa wamwongezee. ngalau kuwango hicho kiwe kwa wiki, si kwa mwezi.
 
Unaingiza sh ngap mkuu kwa mwaka?(no hard feelings)
1. Tunajaribu kulinganisha na hali ya maisha ilivyo juu ulaya, tena kwa mastaa
2. Tunajaribu kulinganisha na wachezaji wengine katika ligi kuu huko anakocheza, maana wanafanya kazi kama yeye. Tofauti zinatakiwa ziwepo lakini naona bado hapo wamempunja, may be ni kianzio tu watazungumza na kupatana tena baadaye
 
Kwa standards za Europe bado hiyo ni fweza kiduchu sana
Cha msingi dogo akomae ili apate team kwenye league nyingine kubwa ili avute fweza Ya maana
 

Sio milioni 45 ni milioni 79 kwa mwezi kabla ya kodi
 
Mbona hii ya miaka miwili iliyopita, jamaa zilipendwa siku nyingi tuu mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…