Salary ya Mbwana Samatta

hebu angalia vizuri,siyo kwa wiki hiyo!?
 
more money more spending pia kule wanakatwa kodi ya mapato kubwa hatari hasa wageni, pia maatumizi ya nyumba na huduma zingine za kijamii kwa kiwango cha ustaa wake utakuta anasevu kahela kadogo tu
 
Ni kwa wiki mkuu...sio kwa mwezi
 
Hiyo milioni 45 ni Baada ya makato yote ya kodi Ndio anabaki na hiyo
Lakini muda sio mrefu anaanza kulipwa pauni elfu 70 kwa wiki pale England
 
Halafu kingine genk wamempangia nyumba maana yake club Ndio inalipia pango la nyumba
 
Mie namuombea heri nimuone pale kwenye EPL au la Liga Santander.
 
Bado ndogo sana kwa maisha ya hapa ulaya, sawa simfikii mimi ila hali ya umaarufu wake na matumizi ya aina ya wachezaji wenzake bado ni mshahara mdogo sana, kuna Hasheem Thabit walikuwa wanakula 300 milioni per month, hivi hata Samatta angalau afike kwenye 200 Milioni,

Hizo 45 ni hela kwa Tanzania ila kwa huku ni chenji

Cha muhimu tumuombee afike pazuri zaidi
Jon Stephano luambo makiadi
 
Nd hiyo thabeet anavuta mkwanja mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…