Ulaya sio marekan wew milion 40 anaitumia kwa kitu gani?? Labda kama anawahonga malaya kibao...maisha ya ulaya simple tu.
Vipi na maisha anayoishi...kwa ufahamu wangu mshahara unalipwa kulingana na gharama za maisha....unaweza kuta anatumia kwa mwezi milioni 40