Salary ya Mbwana Samatta

Salary ya Mbwana Samatta

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za Kongowe shemeji ?
Kongowe hatujambo ndugu yangu. Huko kwema? Sister na wapwa zangu wakoje? TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kongowe Mzinga hatujambo ndugu yangu. Huko kwema? Sister na wapwa zangu wakoje? TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hakika ni Jumapili yenye kushangaza,upendo wa Mungu umetuzunguka,nafsi zetu zimetawaliwa na amani.
Tuna kila sababu ya kuutukuza ukuu wake.
Uwe na Jumapili njema[emoji120][emoji120]
 
Bado ndogo sana kwa maisha ya hapa ulaya, sawa simfikii mimi ila hali ya umaarufu wake na matumizi ya aina ya wachezaji wenzake bado ni mshahara mdogo sana, kuna Hasheem Thabit walikuwa wanakula 300 milioni per month, hivi hata Samatta angalau afike kwenye 200 Milioni,

Hizo 45 ni hela kwa Tanzania ila kwa huku ni chenji

Cha muhimu tumuombee afike pazuri zaidi
Jon Stephano luambo makiadi
ni kweli KBS
million 45 kwa ulaya ni hela NDOGO mno
wengi wanaona ni nyingi kwasababu hawajaishi ulaya
mshahara huo utakatwa ma kodi hatari
mm hapa Germany kinachoni fever ni ma semina ninayotembea nchi mbalimbali
mshahara huku unakatwa hatari
 
ni kweli KBS
million 45 kwa ulaya ni hela NDOGO mno
wengi wanaona ni nyingi kwasababu hawajaishi ulaya
mshahara huo utakatwa ma kodi hatari
mm hapa Germany kinachoni fever ni ma semina ninayotembea nchi mbalimbali
mshahara huku unakatwa hatari
Mkuu hiyo figure ni ya mwaka2016
 
Hela kiduchu hiyo kwa maisha ya ulaya na maisha ya extended family haitoshi sawa na mil 500 kwa mwaka hiyo hela kiduchu sana
 
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana samata,hapo alipo kwa mwezi anapokea kiasi cha Tsh.45,000,000/= kwa exchange rate ya siku ya leo ya euro mana they are paid in euro's. Its lot of money if you ask me for a tanzanian player like him playing abroad.
Anyway hio ni kwa samatta. Sijamskia kabisa braza hasheem thabit mana ndo alikua anaongoza kwa tanzania sports players ambao wanalipwa pesa ndefu. Embu tujuzwe alipo.huyu bwana mdogo.
Uongo ni Euro elfu80 which is equal to 163m
 
Back
Top Bottom