OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika.
Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya…
@ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba
@VAR kuletwa mara ya kwanza nchini sababu ya Simba
@VAR kutumika kwa Mkapa kwa mara ya kwanza kwa sababu ya Simba
Inashangaza sana kuona hata baadhi ya viongozi wa klabu eti nao wakipambana na hili, ajabu zaidi kila anayesema kuwa VAR ni mara ya kwanza sababu ya Simba, anafanywa kuwa hajui, anatia aibu, anavishwa rundo la majina na kutaka kudhalilishwa!
Binafsi naona ni ukosefu wa WIVU CHANYA, wengi wanauita wivu wa maendeleo. Hili jambo ni FACT, kupingana nalo ni kupoteza muda na wala hakuna mjadala na sote tunajua, misimu miwili nyumba Simba imekwenda robo fainali Caf CL lakini hakukuwa na VAR, leo wameingia robo ya Caf CC, kuna VAR kuanzia robo fainali.
Swali, bila Simba kufika hatua hii, vipi VAR ingekuja Tanzania? Sasa hapa nani kaenda robo fainali au timu gani ya Tanzania iko robo fainali au Orlando Pirates ya Afrika Kusini itacheza na nani na VAR ikitumika kwa Mkapa, Namungo, Geita Gold?
Nafikiri wakati mwingine tunfanye mambo ya msingi na jambo zuri, mfano ukitaka kufanikiwa, basi kubali maendeleo ya mwenzako. Wivu kuona sawa lakini uwe wenye tamaa nawe ufanye vizuri si KUPINGA kila zuri la mwenzako wakati HUJALIFIKIA....
Unaona kabisa huyu ana mafanikio kuliko mimi, lakini ajabu mwingine anakuaminisha tofauti na wewe unaamua kuachana na kuamini kile ambacho unaona na kukipitisha kwenye ubongo na kupata majibu sahihi, halafu UNAJIFURAHISHA kwa KUMUAMINI YULE ALIYEWAZA KIWIVU HASI….Usikubali.
My Take
Wivu ni kidonda 👌👌👌👌