Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika.

Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya…
@ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba
@VAR kuletwa mara ya kwanza nchini sababu ya Simba
@VAR kutumika kwa Mkapa kwa mara ya kwanza kwa sababu ya Simba

Inashangaza sana kuona hata baadhi ya viongozi wa klabu eti nao wakipambana na hili, ajabu zaidi kila anayesema kuwa VAR ni mara ya kwanza sababu ya Simba, anafanywa kuwa hajui, anatia aibu, anavishwa rundo la majina na kutaka kudhalilishwa!

Binafsi naona ni ukosefu wa WIVU CHANYA, wengi wanauita wivu wa maendeleo. Hili jambo ni FACT, kupingana nalo ni kupoteza muda na wala hakuna mjadala na sote tunajua, misimu miwili nyumba Simba imekwenda robo fainali Caf CL lakini hakukuwa na VAR, leo wameingia robo ya Caf CC, kuna VAR kuanzia robo fainali.

Swali, bila Simba kufika hatua hii, vipi VAR ingekuja Tanzania? Sasa hapa nani kaenda robo fainali au timu gani ya Tanzania iko robo fainali au Orlando Pirates ya Afrika Kusini itacheza na nani na VAR ikitumika kwa Mkapa, Namungo, Geita Gold?

Nafikiri wakati mwingine tunfanye mambo ya msingi na jambo zuri, mfano ukitaka kufanikiwa, basi kubali maendeleo ya mwenzako. Wivu kuona sawa lakini uwe wenye tamaa nawe ufanye vizuri si KUPINGA kila zuri la mwenzako wakati HUJALIFIKIA....

Unaona kabisa huyu ana mafanikio kuliko mimi, lakini ajabu mwingine anakuaminisha tofauti na wewe unaamua kuachana na kuamini kile ambacho unaona na kukipitisha kwenye ubongo na kupata majibu sahihi, halafu UNAJIFURAHISHA kwa KUMUAMINI YULE ALIYEWAZA KIWIVU HASI….Usikubali.

My Take
Wivu ni kidonda 👌👌👌👌
Hao mende wa njano nyesi na kijani tunawaangalia tu
 
Hao uto kama nao wanataka kuweka record waambieni wakaibe hiyo VAR itakapofika, naamini nao watakuwa timu ya kwanza kufanya hivyo.
 
Unajua hv vitu vinashadadiwa na Simba fans, Hv Mashabiki wa Yanga wanaanzia wapi huo wivu, labda kama hizo VAR zingekuwa ni za Simba Ila ni vitu vinavyokuja nchini na kuondoka..!! Jana nilikuwa huko mjini nimekuta Mashabiki wa Simba wanajigamba sana kuhusu hili utadhani kama wameshinda hyo match.. nikawaambia "mnachotakiwa kufanya ni kuisapoti club yenu ishinde Hilo ndo Jambo la msingi na sio mambo ya VAR, kwanza hii VAR inakuja kuwaweka hatarini na haya magoli yenu ya Offside yaliyozoeleka Kwenye baadhi ya match"
Siku zote wanaisapoti timu yao so hilo hupaswi kuwakumbusha wakati wanafahamika kuwa wao wajibu wao huwa wanautimiza ipasavyo.

Kama Simba asingefika hapo VAR ingekuja lini TZ?
 
Kujisifia kuleta VAR iliyoletwa na CAF katika hatua hii ya mashindano ni MAJIGAMBO TU ya kawaida kwani VAR haiji kwa ajili ya Simba bali inakuja kwa ajili ya ufanisi wa matokeo sahihi ya maamuzi pale uwanjani.
Hivyo basi wale wanaowachukia watani kujigamba na VAR wawaache maana ndiyo kitu wanacho kiona wamekifanikisha kwa kuwa uwezo wa kulibeba kombe hawana ni sawa na sisimizi kubeba tembo
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3] nyie vifurahieni eti kuwa wa kwanza kutumia VAR afu mfungwe ndio tuone hiyo VAR kama ni kombe!!.

Simba imeleta VAR? Nchi Ina watu wa hovyo!.
Lakini wapo sahihi sioni ni kwa nini tuwabishie maana kweli wamekuwa wa kwanza.
Cha msingi wacheze vizuri maana yale matukio ya ujanja ujanja na udanganyifu yatakuwa open na pia huo ndiyo mwisho wa furaha yao ya VAR.
 
Ila mbumbumbu fc ndio waliokuwa wakimtukana na kumpinga Mwigulu aliposema serekali italeta VAR. Ila nimegundua kwamba hampo tayari ligi yetu kuwa na VAR. Kwani mtashindwa kufanya chupri chupri. Ila kwa upande wa CAF hamna shida kwani VAR haitumiki kwenye vyumba vya kubadilishia

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwa hali ya ile meza ya press kula Tanga na viwanja kama majaruba, bado mna jeuri ya kutaka kutoa mabilion kwaajili ya VAR?

Kama mnataka kucheza huku VAR ikiwepo jitahidini mfike level anazofika Simba Sc.
 
Kwani hiyo VAR itatumiwa na wachezaji wa Simba na benchi lao la ufundi au itatumiwa na waamuzi na wasaidizi wao kuangalia matukio yenye utata?
Maana sijaona cha kushambulia hapo.
Ni sawa na watoto kushangilia ndege inayopita angani. "Ndege iyo,ndege iyo,ndege ya baba, ndege ya baba"
RAGE, RAGE, RAGE. Mungu anakuona.
Inaelekea hata content ya uzi hujaielewa kabisa,otherwise usingeandika hivi ulivyoandika[emoji3]
 
Kwa hali ya ile meza ya press kula Tanga na viwanja kama majaruba, bado mna jeuri ya kutaka kutoa mabilion kwaajili ya VAR?

Kama mnataka kucheza huku VAR ikiwepo jitahidini mfike level anazofika Simba Sc.
Level yenyewe ya kutumia meza kama ile!?
Hata kama wasimamizi walishindwa kuficha ile aibu,ninyi mbumbumbu fc mishindwa kulinda hadhi yenu!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Level yenyewe ya kutumia meza kama ile!?
Hata kama wasimamizi walishindwa kuficha ile aibu,ninyi mbumbumbu fc mishindwa kulinda hadhi yenu!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kuficha?? Tufiche nini sasa wakati ndo haki halisi ya hii ligi yenu ya mbuzi??

Ndomaana tunapambana ili kila mwaka tukacheze ligi ya size yetu.
 
Lakini wapo sahihi sioni ni kwa nini tuwabishie maana kweli wamekuwa wa kwanza.
Cha msingi wacheze vizuri maana yale matukio ya ujanja ujanja na udanganyifu yatakuwa open na pia huo ndiyo mwisho wa furaha yao ya VAR.
Then baada ya kuwa wakwanza ndio kombe lao?
 
Simba ndio team ya kwanza kwa kila kitu yanga wanasubiria kuiga tu kule kumejaa vilaza wasioweza kufikiria mambo kwa upana zaidi
Yanga hata ilipoanzishwa SIMBA day waliponda sana mwisho waliiga,

Sasa hivi wanaponda michango ya uwanja inayoendelea pale msimbazi ila pia wataiga wanatafuta namna ya kuifanya tofauti ili wasionekane wanaiga kila kitu.

NB; yanga wenye akili ni kikwete na Sunday manara alisema yule mzaramu hao wengine wote muwapuuzie sio makosa yao.
 
NANI ASIYEJUA SALEHE JEMBE NI MNAZI WA SIMBA NA ANATUMIWA KAMA PROPAGANDA?

VAR NI KITU CHA KAWAIDA SIO CHA KUSHANGAA
 
Sisi kama mashabiki wa Simba twaumia kupoteza kombe la ligi
 
Back
Top Bottom