Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

Hao mende wa njano nyesi na kijani tunawaangalia tu
 
Hao uto kama nao wanataka kuweka record waambieni wakaibe hiyo VAR itakapofika, naamini nao watakuwa timu ya kwanza kufanya hivyo.
 
Siku zote wanaisapoti timu yao so hilo hupaswi kuwakumbusha wakati wanafahamika kuwa wao wajibu wao huwa wanautimiza ipasavyo.

Kama Simba asingefika hapo VAR ingekuja lini TZ?
 
Kujisifia kuleta VAR iliyoletwa na CAF katika hatua hii ya mashindano ni MAJIGAMBO TU ya kawaida kwani VAR haiji kwa ajili ya Simba bali inakuja kwa ajili ya ufanisi wa matokeo sahihi ya maamuzi pale uwanjani.
Hivyo basi wale wanaowachukia watani kujigamba na VAR wawaache maana ndiyo kitu wanacho kiona wamekifanikisha kwa kuwa uwezo wa kulibeba kombe hawana ni sawa na sisimizi kubeba tembo
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3] nyie vifurahieni eti kuwa wa kwanza kutumia VAR afu mfungwe ndio tuone hiyo VAR kama ni kombe!!.

Simba imeleta VAR? Nchi Ina watu wa hovyo!.
Lakini wapo sahihi sioni ni kwa nini tuwabishie maana kweli wamekuwa wa kwanza.
Cha msingi wacheze vizuri maana yale matukio ya ujanja ujanja na udanganyifu yatakuwa open na pia huo ndiyo mwisho wa furaha yao ya VAR.
 
Kwa hali ya ile meza ya press kula Tanga na viwanja kama majaruba, bado mna jeuri ya kutaka kutoa mabilion kwaajili ya VAR?

Kama mnataka kucheza huku VAR ikiwepo jitahidini mfike level anazofika Simba Sc.
 
Inaelekea hata content ya uzi hujaielewa kabisa,otherwise usingeandika hivi ulivyoandika[emoji3]
 
Kwa hali ya ile meza ya press kula Tanga na viwanja kama majaruba, bado mna jeuri ya kutaka kutoa mabilion kwaajili ya VAR?

Kama mnataka kucheza huku VAR ikiwepo jitahidini mfike level anazofika Simba Sc.
Level yenyewe ya kutumia meza kama ile!?
Hata kama wasimamizi walishindwa kuficha ile aibu,ninyi mbumbumbu fc mishindwa kulinda hadhi yenu!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Level yenyewe ya kutumia meza kama ile!?
Hata kama wasimamizi walishindwa kuficha ile aibu,ninyi mbumbumbu fc mishindwa kulinda hadhi yenu!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kuficha?? Tufiche nini sasa wakati ndo haki halisi ya hii ligi yenu ya mbuzi??

Ndomaana tunapambana ili kila mwaka tukacheze ligi ya size yetu.
 
Lakini wapo sahihi sioni ni kwa nini tuwabishie maana kweli wamekuwa wa kwanza.
Cha msingi wacheze vizuri maana yale matukio ya ujanja ujanja na udanganyifu yatakuwa open na pia huo ndiyo mwisho wa furaha yao ya VAR.
Then baada ya kuwa wakwanza ndio kombe lao?
 
Simba ndio team ya kwanza kwa kila kitu yanga wanasubiria kuiga tu kule kumejaa vilaza wasioweza kufikiria mambo kwa upana zaidi
Yanga hata ilipoanzishwa SIMBA day waliponda sana mwisho waliiga,

Sasa hivi wanaponda michango ya uwanja inayoendelea pale msimbazi ila pia wataiga wanatafuta namna ya kuifanya tofauti ili wasionekane wanaiga kila kitu.

NB; yanga wenye akili ni kikwete na Sunday manara alisema yule mzaramu hao wengine wote muwapuuzie sio makosa yao.
 
NANI ASIYEJUA SALEHE JEMBE NI MNAZI WA SIMBA NA ANATUMIWA KAMA PROPAGANDA?

VAR NI KITU CHA KAWAIDA SIO CHA KUSHANGAA
 
Sisi kama mashabiki wa Simba twaumia kupoteza kombe la ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…