Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Huu ni uzushi na uongo wa hali ya juu kwa watu wana read between the lines lakini Mashabiki oya oya wanameza kama ilivyo na wakiimeza wa naenda kuanzisha ligi mitaani. Habari yako ni ya uongo na aliyekupa hii habari kakuchanganya tu. Na wewe kwa sababu ni Yanga umekuja kuileta humu ili kujifurahisha na watu wasio kuwa na kuelewa mpana wa kudadavua na kuchambua mambo
Muongoza hujuma za Yanga afungwe ni yule mmiliki wa ile super market pale kona ya kwenda gobaLakini kwenye mipambano yao, sisi pia tuna hatihati ya kuhujumiwa.
Wanatakiwa wawekezaji watatu katika asilimia 49 na sio mmoja kama ingekua ni mmoja mchakato ungeshaishaWatanzania kwa ujuaji? Hapo unaongelea story za vijiweni dhidi ya story halisi. Kutokukamilika kwa mchakato kampuni sio moja ya sababu.
Sasa Mkuu hoja yako ni ipi? Mchakato umeshindwa kukamilika sababu ya kampuni feki za Mo au walihitajika wawekezaji watatu?Wanatakiwa wawekezaji watatu katika asilimia 49 na sio mmoja kama ingekua ni mmoja mchakato ungeshaisha
Kuna mambo mengi sana hujui yaani wewe bendera fuata upepo nimeshangaa sana na hili hulijui
Hata akija bakharesa katiba ya simba inasema wanatakiwa wawe wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo bado mchakato utakua mgumu
Chanzo nyeti.. sema Tu wabongo hua hawakuelewi hadi take kutokea ndo wanarudi kufukua makaburi ili kutoa credit...Ninazo habari nyingine kubwa nne ikiwemo inayomuhusu boss wa TFF moja kwa moja basi tu nakosa muda wa kuandika.
Chanzo nyeti ninacho Mkuu. Lols
Hahahahaha...ndio alikuwa mwenyekiti kabla ya Mangungu,akapishana na Tajiri akajitoa..now karudishwa ktk kikao cha juzi na Tajiri alikuwepoHuwezi kuamini nimeishi pale na huyo mmiliki nilikuwa namjua ila sasa hivi nimemsahau!
Mo alipeleka kampuni mbili ikajulikana zinasimamiwa na kumilikiwa na ndugu zake akakataliwa mbona liko waziSasa Mkuu hoja yako ni ipi? Mchakato umeshindwa kukamilika sababu ya kampuni feki za Mo au walihitajika wawekezaji watatu?
tuendelee kula nyama mtori upo chiniTry again na mo n mtu na mjomba wake hapo no problem hizo n propaganda
Kwahiyo haya unayajuwa peke yako tu?Mo alipeleka kampuni mbili ikajulikana zinasimamiwa na kumilikiwa na ndugu zake akakataliwa mbona liko wazi
Hata mashabiki wengi wa simba hawajui hiki kitu yaan walipitisha katiba kama mazuzu
Hata akija bakharesa wanatakiwa wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo tabu ipo pale pale
Wewe hata katiba ya simba huijui na hujawah kuisoma na mashabiki wengi wa simba katiba yenu hamuijui mliyoipitisha mwaka 2018 ambao katika wajumbe 1000 walikataa watatuKwahiyo haya unayajuwa peke yako tu?
Katiba hazifanyiwagi amendment?
Umeambiwa Sheria ya FIFA unasema hapa kwetu , katika michezo hakuna wa kuitunishia FIFA ,Nafahamu hilo Mkuu, ila hapa kwetu tunajuana hakuna linaloshindikana.
Anaweza kuonekana mmiliki mwingine kwenye makaratasi ila kiuhalisia ni SSB.
Wengi huku jamiiforum ni wapiga debeUmeambiwa Sheria ya FIFA unasema hapa kwetu , katika michezo hakuna wa kuitunishia FIFA ,
Nashukuru Mkuu.Chanzo nyeti.. sema Tu wabongo hua hawakuelewi hadi take kutokea ndo wanarudi kufukua makaburi ili kutoa credit...
Binafsi sina Shaka na chanzo chako... Hasa nikikumbuka Ile habari ukiandika raia wakabisha ila uliwaambia chanzo chako ni nyeti kiasi Kwamba wakikuambia kesho unakufa utaanza kufanya sala ya toba . [emoji16]
Na mwisho wa siku yakaja kutimia.. ngoja tusubiri na hili
Hebu ngoja tuone huo mchakato mpya itakuwaje, ila ni kama Mo akishindwa hii vita niliyowaletea habari yake.Mo alipeleka kampuni mbili ikajulikana zinasimamiwa na kumilikiwa na ndugu zake akakataliwa mbona liko wazi
Hata mashabiki wengi wa simba hawajui hiki kitu yaan walipitisha katiba kama mazuzu
Hata akija bakharesa wanatakiwa wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo tabu ipo pale pale